Ok wacha nikutowe wasi wasi mimi na shida na raha ni watu wawili tofauti lakini no watani sana na ni shemeji yangu.
Kuna siku ye mwenyewe alimsababishia mshana jr kuonekana ni mmoja, ilichukua mda watu kuamini hicho ila uthibitisho anao mshana na alinambia walishawahi kuonana n wakapiga stori. Sasa basi kwa mpango hata hapo hamtaamini kwa anavyopenda kunitania sana na mpaka nakosa raha, narudia tena shida na raha ni watu wawili tofauti na ndie alienishawishi kujiunga. Mshana njoo uwaaminishe hili.