Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo hutojutia muda wako kwangu.hakuna vigezo vyovyote cha muhimu uwe na uwezo wa kunipa raha zote za dunia hii siku ya tarehe 14.Thibitisha tafadhali