Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
- Thread starter
- #41
Ndeledja maneno yako kuntu hebu ingia PM unieleze zaidi hizo raha unazoweza kunipa.wallah naweza kukuchagua wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo hutojutia muda wako kwangu.hakuna vigezo vyovyote cha muhimu uwe na uwezo wa kunipa raha zote za dunia hii siku ya tarehe 14.Thibitisha tafadhali
Ngoja nikuitie huyu
mzabzab eeeeeh, unahitajika haraka sana
huyu first lady sijui anataka maraha gani wakati mie najua raha moja tuu ya ukweli hapa duniani

Ya wakubwa
eh sasa wote sii wakubwa bana...aje tupeane raha ya ukweli
zama PM unaanza leo kujifunza kutongoza?
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo hutojutia muda wako kwangu.hakuna vigezo vyovyote cha muhimu uwe na uwezo wa kunipa raha zote za dunia hii siku ya tarehe 14.Thibitisha tafadhali
wewe mwanaume wa kweli hatongozi....nilishasema women of today are worth no more than pieces of paper. sasa i will be an idiot kupoteza muda na kuanza kutongoza
Aisee, this issue is very serious.
:becky: halituhusu hili
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo hutojutia muda wako kwangu.hakuna vigezo vyovyote cha muhimu uwe na uwezo wa kunipa raha zote za dunia hii siku ya tarehe 14.Thibitisha tafadhali
:becky::becky::becky::becky: kwa hiyo unafika bei tu kama unanunua changudoa
Yeah, indeed. This is a private business. Halituhusu.
exactly. every woman has a price; wengine chips yai unachapa wengine x6 ndio unachapa so yote kwa yote ni kwamba women are nothing more than piece of paper ...wewe gegeda tuu
Sasa mbona umeanza kwenda kinyume na makubaliano yetu?......we have a trip to Sun City kesho.....umesahau?
Im the King of gutter politics,usikimbie tu.....