Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye red inaonyesha ni mtu usiye jiamini.... Hata ningekuwa na nia ya kukupa hizo raha,ambazo huajaainisha interest zako kupunguza usumbufu maana wengine hoby zetu zinaweza kukushinda,,unapenda nikwambiee.....?Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo hutojutia muda wako kwangu.hakuna vigezo vyovyote cha muhimu uwe na uwezo wa kunipa raha zote za dunia hii siku ya tarehe 14.Thibitisha tafadhali
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo hutojutia muda wako kwangu.hakuna vigezo vyovyote cha muhimu uwe na uwezo wa kunipa raha zote za dunia hii siku ya tarehe 14.Thibitisha tafadhali
hakuna shaka kongosho ila tu uniambie huko bagamoyo utaenda kunipa raha gani sio unanipeleka kushangaa majengo mie nlishayatembelea sana.nataka raha zoooooote muhimuOwkay, nikikupeleka Bagamoyo utakubali?
hakuna shaka kongosho ila tu uniambie huko bagamoyo utaenda kunipa raha gani sio unanipeleka kushangaa majengo mie nlishayatembelea sana.nataka raha zoooooote muhimu
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo hutojutia muda wako kwangu.hakuna vigezo vyovyote cha muhimu uwe na uwezo wa kunipa raha zote za dunia hii siku ya tarehe 14.Thibitisha tafadhali
hakuna shaka kongosho ila tu uniambie huko bagamoyo utaenda kunipa raha gani sio unanipeleka kushangaa majengo mie nlishayatembelea sana.nataka raha zoooooote muhimu
ni pm mkuu
Mmh, kuna festiledi wawili humu??
King'asti naomba darubini ya utambuzi
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo hutojutia muda wako kwangu.hakuna vigezo vyovyote cha muhimu uwe na uwezo wa kunipa raha zote za dunia hii siku ya tarehe 14.Thibitisha tafadhali
Festi ledi huyu yupogi, tena ndo alikuwepo kabla ya festiledi1. Ila anakujaga siku za uchaguzi tu.
FirstLady, kama ukikosa me wa kula nae hii siku na bajeti yako binafsi ikiruhusu, nna meno ya ziada. my :mwaaah: is out of town, mwaliko wako utaniepusha na simba mla watu Vin Diesel (nimeanza gutter politics, utajuuta)