Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo hutojutia muda wako kwangu.hakuna vigezo vyovyote cha muhimu uwe na uwezo wa kunipa raha zote za dunia hii siku ya tarehe 14.Thibitisha tafadhali

Munisijo usisemee mioyo ya wengine na usifurahie mie kuendelea kuwa mpwekeSaudari ni mimi mimi ila nimeona nitajifia bure kwa upweke wakati inawezekana kupata faraja. Kongosho ndio tuko wawili ila mie siingii sana kama mwenzangu.lakini nipo tangu zamani sana na nilimtangulia.yeye ni Firstlady 1. Ndetirima mie sina mume, mchumba, mpenzi ,king'asti, serengeti boy wala kidumu.nipo mpweke na ndio maana natafuta tulizo.

zema 21 sijaona PM yako. @ Preta kwakweli asante ila sitafuti mtu wa jinsia yangu nataka mwanaume wa ukweli ili aniondolee upweke.