Batchelor Mpole
Member
- Mar 29, 2024
- 18
- 33
Mschana au mwanamk3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
16 years to come utakuwa na 60 years na bado utakuwa unatafuta mchumba .....................Mm ni mwanaume, age 44,
Natafuta mdada wa kubadilishana changamoto zote za maisha (elewa)
NInaishi Dar,
Ukiwa Dar au mkoa wa jirani itapendeza, tutatoka out au safari, uwe huru na uwe unajielewa. Just for long term relationship
Karibuni,
Kaka umeshindwa kabisa kupata watu wa mitaani mpaka unakuja humu?Mm ni mwanaume, age 44,
Natafuta mdada wa kubadilishana changamoto zote za maisha (elewa)
NInaishi Dar,
Ukiwa Dar au mkoa wa jirani itapendeza, tutatoka out au safari, uwe huru na uwe unajielewa. Just for long term relationship
Karibuni,
16 years to come utakuwa na 60 years na bado utakuwa unatafuta mchumba .....................
No offence
who knows the future...ww unauhakika utakuepo? Why predicting your fellow s future?
May b...who knowswewe ndio ulimwandikia diamond ile nyimbo ya sikomi? Oddo sikio la kufwa
Hii kanuni nzuriKaka umeshindwa kabisa kupata watu wa mitaani mpaka unakuja humu?
Humu asilimia kubwa ni wanawake walioumizwa kihisia, sidhani utapata chochote kilicho chema. We nenda kitaa, tongoza wanawake 25 kwa siku , fanya kwa siku 100 ila hakikisha unawaambia sheria zako na atakayezikubali anza naye mahusiano. Huwezi kosa .
Wlll implement this. I LOVE THISHii kanuni nzuri
Shemegi ulipata?Wlll implement this. I LOVE THIS
Looh 😲 😲 😲 😲, Kimara huko kumbe ndiko wanakopatikana saizi yetu@ 44 tafuta lishangazi.
Yapo mengi tu Ilala na huku Kimara yapo mengi kutoka mkoa maarufu wa kaskazini kunakoliwa ndisi kwa wingi.