Essence Tz
Member
- Apr 10, 2024
- 55
- 115
- Thread starter
- #21
Sasa nawez kubadili sahiz?Jukwaa la
Jukwaa la
.Mapenzi,Uhusiano na Urafiki.
Angalia vizuri shuka mpaka chini kwenye paji ya JF itakuwa rahisi zaidi kwako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nawez kubadili sahiz?Jukwaa la
Jukwaa la
.Mapenzi,Uhusiano na Urafiki.
Angalia vizuri shuka mpaka chini kwenye paji ya JF itakuwa rahisi zaidi kwako mkuu
AsanteKila la kheri mkuu
Dah sa itakuaje, shati la kitenge vipi?Hii hapana kwakweli
maliza kwanza masomo kisha uingie kwenye mapenzi la si hivyo utakula supplementary za kutosha hapo masomoni kwako.Hope mko poa!
Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs
Maswali mengine niulize ntakujibu
Dah kizazi hiki tumepigwa.....Hope mko poa!
Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs
Maswali mengine niulize ntakujibu
Aaah 😁Dah kizazi hiki tumepigwa.....
Kwaiyo mtu akiingia kweny mapenzi anapotea? Au mm siwez kuhandlemaliza kwanza masomo kisha uingie kwenye mapenzi la si hivyo utakula supplementary za kutosha hapo masomoni kwako.
Tuma picha yako niangalie unakwama wapi?Hope mko poa!
Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs
Maswali mengine niulize ntakujibu
Umemuelewa ama umemuelewa ??Oke,sasa nimekuelewa...kila lenye kheri kwako mwanangu
sasa kwa akili za kutafuta manzi hapa jamvini, utakuja kuweza kuhandle manzi kweli kakaKwaiyo mtu akiingia kweny mapenzi anapotea? Au mm siwez kuhandle
Kweny sura Niko vzr , sijisifii!Tuma picha yako niangalie unakwama wapi?
Ndiosasa kwa akili za kutafuta manzi hapa jamvini, utakuja kuweza kuhandle manzi kweli kaka
Ushauri tu,weka Uzi kama huu kule piaSasa nawez kubadili sahiz?
Kwanini..?
Haya sasa
Haya sasa
Run 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Kwanini..?
Hii mwanangu imekaa vipi, yani ni kama mtoto wako au 😀😀😀Oke,sasa nimekuelewa...kila lenye kheri kwako mwanangu