Natafuta Mpenzi

Natafuta Mpenzi

Hope mko poa!
Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs
Maswali mengine niulize ntakujibu
maliza kwanza masomo kisha uingie kwenye mapenzi la si hivyo utakula supplementary za kutosha hapo masomoni kwako.
 
maliza kwanza masomo kisha uingie kwenye mapenzi la si hivyo utakula supplementary za kutosha hapo masomoni kwako.
Kwaiyo mtu akiingia kweny mapenzi anapotea? Au mm siwez kuhandle
 
Mkuuu ntakuwa ijumaa kikazi nitafute nikupeleke samaki samaki
 
Back
Top Bottom