Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona aisee!Huko kwenu ikungulabashashi hujaona wa kuoa?
Niitie plzWapenziii mkujee hapa mnaitwaa!! Kuna mtu ana jamboo na nyiee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku mtandaoniPole sana mkuu.Kwani huyo mpenzi unayemtafuta ulimpotezea wapi?
Ok.Pita ukimchekicheki mkuu.Anaweza akawa amevaa baibui.Huku mtandaoni
Wanakujaa!! Subiriii.N
Niitie plz
Kwa umri wako mdogo angu, kibongo bongo kama haujatokea kwenye familia ya kishua basi bila shaka ni kijana ambae bado unajitafuta., masuala ya kuanzisha mahusiano bora yaache kwanza, hawa wanawake wa kiafrika ni liability tu kwa mwanaume. Tilia mkazo kwenye kujitafuta kwa kubuni miradi, kuongeza elimu au kunoa kipaji/kipawa chako(kama umekigundua). Ukifika 30's utakua ushajipata hawa wanawake watakua tambalale tu ni wao wenyewe ndio watakutafuta mpaka utaona kero.Thanks
Thanks for good advice 👍
Aaah 😁25 Bado unasomaa duh! Hatariii sana,wakati Mbappe 24 anawaza namna ya kustafu kambumbuu😃🤣
Pmj sanaKwa umri wako mdogo angu, kibongo bongo kama haujatokea kwenye familia ya kishua basi bila shaka ni kijana ambae bado unajitafuta., masuala ya kuanzisha mahusiano bora yaache kwanza, hawa wanawake wa kiafrika ni liability tu kwa mwanaume. Tilia mkazo kwenye kujitafuta kwa kubuni miradi, kuongeza elimu au kunoa kipaji/kipawa chako(kama umekigundua). Ukifika 30's utakua ushajipata hawa wanawake watakua tambalale tu ni wao wenyewe ndio watakutafuta mpaka utaona kero.