NATAFUTA MREMBO WA KUNIPA RAHA DUNIANIIII!!!

Mbele ya mboni za macho yenu ndugu watazamajii!

Mfanyabiasha mkubwa na mwanasaikolojia KIPEPE, Nipo hapa kutafuta mtoto mkaliiiiiiii!!!

Ebbanaaaa! Uwe mkali aseeee! Maana komredi ni Kijana tajiri niliesimika Jumba la kifahari katika Jiji la Dar.. Nahitaji mama mwenye nyumba uwe mzuuuuriiiii!!!!!

Changamkienii fursa aseeeee!!!
Huyu hapa chini ni MFANYAKAZI WANGU WA NDANI a.k.a BEKI 3, Uwe mzuri kumzidiiiii, kabila lolooote.

View attachment 1141545
Watu huongea na kuandika mawazo yao halisi
 
Nimetafakari sana kuhusu hili hitaji lako... Nimeona mrembo pekee atakayekufaa ni jini... Huyu hutatumia sent yako ila kubali masharti na vigezo
 
Dah, nilitaka nije tuyajenge ila ulivosema huyo Dada mzuri hivo ni house girl wako ,nimerudi speed maana simfikii hata robo .kila rakherii
 
Mbele ya mboni za macho yenu ndugu watazamajii!

Mfanyabiasha mkubwa na mwanasaikolojia KIPEPE, Nipo hapa kutafuta mtoto mkaliiiiiiii!!!

Ebbanaaaa! Uwe mkali aseeee! Maana komredi ni Kijana tajiri niliesimika Jumba la kifahari katika Jiji la Dar.. Nahitaji mama mwenye nyumba uwe mzuuuuriiiii!!!!!

Changamkienii fursa aseeeee!!!
Huyu hapa chini ni MFANYAKAZI WANGU WA NDANI a.k.a BEKI 3, Uwe mzuri kumzidiiiii, kabila lolooote.

View attachment 1141545
Una undungu na Spika?
 
Back
Top Bottom