Nakubali waaminifu wapo ila ni wachache sana, lakini haiondoi ukweli kuwa biashara inamuhtaji sana mmiliki wake kwa ukaribu.kuna watu bado tuna uaminifu(na mimi najiwekamo kwa sababu najijua)
ninaweza kusimamia vizuri biashara ya mtu bila kumpiga shida inakuja kwenye malipo, akijipendelea tu matatizo yanaanzia hapo