Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
🤣🤣🤣 safi umeliangalia hili kwa jicho la tatu( Kiroho zaidi) jamaa anachotaka kufanya kama akimpata mtu huyo mtu aliangalie kwa jicho la tatu humo lazima ugomvi wa kimaslahi uwepo 100%.Kwa waafrika bado sana, anaweza kukimbia na kila kitu, au akakuroga uchawi wa "kiatu" ukajikuta bila ufahamu wako unaondoka tu Dar ,na hela yako hutaifuatilia, anakufunga kabisa akili, au anakufanya zezeta.
Fanya mwenyewe au na mtu wako wa karibu saaana, au simamia mwenyewe.
Mwafrika ni kiumbe hatari sana