Natafuta Mshirika wa Biashara ya Chips Tabata Kinyerezi

🤣🤣🤣 safi umeliangalia hili kwa jicho la tatu( Kiroho zaidi) jamaa anachotaka kufanya kama akimpata mtu huyo mtu aliangalie kwa jicho la tatu humo lazima ugomvi wa kimaslahi uwepo 100%.
 
nisawa unacho sema chukulia mfano umenunua bajaji ukampa mtu mkataba, akizngua si wampokonya na hata hili ni ivyo ivyo na ndiomaana ya maandishi na mashaid, kikubwa kujierewa na kujitambua wapi umetoka na wapi wataraj fika hichotu ndio muhimu
 
🤣🤣🤣 safi umeliangalia hili kwa jicho la tatu( Kiroho zaidi) jamaa anachotaka kufanya kama akimpata mtu huyo mtu aliangalie kwa jicho la tatu humo lazima ugomvi wa kimaslahi uwepo 100%.
maandishi ya makubaliano kisheria yatakuwepo na ushaid , ila nashukuru najitambua na kueshimu alie mbele yangu hicho ndicho ninacho kipigania kwa kumuomba mungu kisipotee kwangu.
 
maandishi ya makubaliano kisheria yatakuwepo na ushaid , ila nashukuru najitambua na kueshimu alie mbele yangu hicho ndicho ninacho kipigania kwa kumuomba mungu kisipotee kwangu.
Mfano yeye kaweka mtaji ila eneo ni lako so asilimia ngapi ya faida mnapeana?
 
nilikwambia nimempata kaja kuona eneo kalipenda kwaiyo nangoja muda alionipa ikishindikana nitawarudia kwan uwongo sikukwambia hivyo na yule ndio nilie msave na si kila mtu wapaswa kumsave unamsevu yule ambae unamakubaliano nae.
 
katka %50 me nitachukua 20 tuu.
Okay na hili la asilimia litakwenda kwa muda gani? Na wewe pale utakua kama nani kwenye hiyo biashara chief?

Yaani nafasi yako hapo utasimama kama nani maana umesema na wewe utakua pale.
Sasa mtu akishaweka mtaji kwa asilimia kubwa biashara anaendesha mwenyewe.
 
Natoa tahadhar uaminifu ni tatizo kubwa ndani ya nchi hii ,, Ila Kwa vijana wa Dar uaminifu ni tatizo kubwa mara elfu.

Napendekeza hatua tahadhar ya hali ya juu ichukuliwe.
 
Acha utapeli kijana .
Ndo namuuliza maswali hapo! Hiyo asilimia itakwenda kwa muda gani? Maana na yeye kasema atakua pale..sasa sijajua yeye anafanya nini pale.
Mtu akishaweka mtaji wa kila kitu biashara ni ya mwenye mtaji...! Hapo lazima kuwe na ugomvi wa kimaslahi ni ngumu sana hii Idea ya jamaa.
 
nashukuru kwa kujari wazo langu papa Gx nashukuru kwa kuwa yule yule alio niahidi mwanzo ndio ame nilejea namshukuru mungu now tupo ktk hatua nzuri , yeye ndio anasimamia vitu vyote sasa sio muda tutaanza kazi.
 
Natoa tahadhar uaminifu ni tatizo kubwa ndani ya nchi hii ,, Ila Kwa vijana wa Dar uaminifu ni tatizo kubwa mara elfu.

Napendekeza hatua tahadhar ya hali ya juu ichukuliwe.
Yeye aseme kuwa atachukua kodi watakayopangiana lakini sio ishu ya sijui % ya faida itakayopatikana..huo ni utapeli na unaweza waweka kwenye ugomvi mkubwa sana.
 
me ndio mfanyaji pia na yeye tulie kubariana nae anakuwa na ndugu au jamaa yake pele kunisaidia.
 
Hii imekaaje mkuu? Fafanua zaidi
 
Yeye aseme kuwa atachukua kodi watakayopangiana lakini sio ishu ya sijui % ya faida itakayopatikana..huo ni utapeli na unaweza waweka kwenye ugomvi mkubwa sana.
tupo tofaut sana fikra na matendo kwaiyo msiongeree vibaya sana maana sikuzote maneno mabaya kama pepo huja na kuvuruga akili za makubaliano yenu kabisa, unavyo fanya jambo weka imani mbele kuliko mojuto.
 
Hamna kitu hapa🚨🚨🚨 dhuluma dhuluma..na ugomvi mkubwa sana hapa.
nazani uto nielewa na huzi elewa ata niseme vip nipo naomba mungu mambo yetu yaende sawa na fitna na uchochevu mungu atuepushe navyo.
 
me ndio mfanyaji pia na yeye tulie kubariana nae anakuwa na ndugu au jamaa yake pele kunisaidia.
Yaani mtu ameweka mtaji wake alafu wewe ndo uwe unaendesha usukani yeye alete ndugu yake kukaa na kujua umeuza kiasi gani...daah hii biashara kichaa sana.
Hapo hapo una double faida kwa kumzunguka mwenzako na kutengenza faida mwisho wasiku unamfanyia figisu aliyeweka mtaji.

Ngoja nikwambie ndugu yangu Japo umeongea sijui serikali za mtaa sijui, nida
Huko kote mkishaanza kufikishana baada ya kuibuka ugomvi wa kimaslahi hakuna msaada wowote utakaopatikana mwisho wa siku utaibuka mshindi.
Hii biashara kichaa.
 
Natoa tahadhar uaminifu ni tatizo kubwa ndani ya nchi hii ,, Ila Kwa vijana wa Dar uaminifu ni tatizo kubwa mara elfu.

Napendekeza hatua tahadhar ya hali ya juu ichukuliwe.
Acha utapeli kijana .
sasa hapo kuna utapeli gani jman, labda nikuulize swali unakitu cha kukuingizia ela kwa siku ulicho mpa mtu eza pikpik au bajaj au daladala.
 
sasa hapo kuna utapeli gani jman, labda nikuulize swali unakitu cha kukuingizia ela kwa siku ulicho mpa mtu eza pikpik au bajaj au daladala.
kama unavyo ivyo vitu basi unaweza nielewa ila kama una huwez nierewa hata niseme vp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…