Natafuta msichana wa kazi za ndani

Natafuta msichana wa kazi za ndani

lovenss

New Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
1
Reaction score
2
Natafuta mdada wa kazi za ndani,
Mshahara- 60,000
Sehemu-kinondoni
Dini - yeyote
Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4.
Atakayekuwa tayaru nicheck Dm
Update “nmeshapata”
 
Hata mimi natafuta.
Kazi iko Moshi.
Mshahara 80,000/=

Ukitaka njoo Inbox chap.
 
Back
Top Bottom