Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

Wewe umesomea kitu gani? Una utaalamu gani E
 
Sina uzoefu na hayo mambo ila haya ni maoni yangu

Mahitaji yako yapo general sana nadhani ni ngumu hata kwa mtaalam kukusaidia

Narrow your needs, nenda ukiwa labda na lengo la kulenga ofisi fulani specific
 
Sina uzoefu na hayo mambo ila haya ni maoni yangu

Mahitaji yako yapo general sana nadhani ni ngumu hata kwa mtaalam kukusaidia

Narrow your needs, nenda ukiwa labda na lengo la kulenga ofisi fulani specific
Sawa mkuu nimekuelewa tatizo sijaitwa interview muda mrefu kiasi hata kusema nisaidie niingie ofisi fulani nitakuwa nashindwa.
 
Ulisoma chuo/chuo kikuu? Kama ndiyo, je, ulisomea nini? Kwa ngazi ya degree au?!

Jibu hayo maswali tafadhali!
 
Icho kitu si vibaya na mm nikakipata mkuu bantu lady...🙏
 
Expectations kama zipi unafikiri ninazo za juu?

Mimi natafuta kazi ili nilipe kodi ya nyumba, nipate pesa ya kula chakula na mambo mengine ya lazima.
Kwa nini mnapenda sana kuhukumu?
Pole mkuu binafsi sijakuhukumu.
lakni tambua kuwa nyakat tulizomo ngumu.
kwa mfano leo nimesoma habar moja kuwa FORD wanapunguza wafanyakazi 3200.
kwa hyo wakat mwingne kupata ajira inaweya kuwa ngumu.
kuliko kwenda huko kwa mganga hata ukajiongezea mabalaa kwa nn usitafute shughuli hata ndogo ukasukuma siku!
 
Shughuli ndogo kama ipi?
Sijui kitu kinaitwa gundu kama unakielewa vizuri.
Nimefanya mambo mengi sana yanakwama sijaamua tu kuelezea kila kitu hapa sababu hakuna haja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…