mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 248
- 539
- Thread starter
- #61
Sawa.Mtaalamu pekee ni Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Mtaalamu pekee ni Mungu
Huu ushauri umekuja kwa kuchelewa sana... Kwa sasa nachohitaji ni mganga au ustaadh sio ushauri tenaGundu unaliondoa mwenyewe KWA mind control.
Uujue ulimwengu wa ROHO uutawale uwe master mind wa maisha yako na sio kutawaliwa na nature.
Mcheki shehe dr Nakish Bandy yeye ndio mtaalamu wa tiba zote kiroho.Huu ushauri umekuja kwa kuchelewa sana... Kwa sasa nachohitaji ni mganga au ustaadh sio ushauri tena
Kaka pigania mimi mwenyew muhanga ila tu atusemiHuyo ni mwaka wa kwanza chuoni sijui kama hata anaelewa kulisha family ya watu 8 kunafeel vipi... Mengine mtu unatazama unapotezea tu
SafiiKama cha kujenga naomba unitumie na mimi mkuu kama hautajali
Nitumie na mm madam...Mungu atakubariiki.[emoji120]Mkuu pole sana na masahibu yote unayopitia. Sijui kama utaupenda ushauri wangu, ila acha nikuambie kitu.
Waganga utapoteza pesa, kuendelea kujiwekea nuksi. Nachokushauri kwa Imani yako, mrudie Mungu omba toba/msamaha kwa kuamini binadamu, ndiye anayeweza kukutatulia shida zako.
Baada ya hapo mwamini yeye, kama ameweza kukuumba hashindwi jambo dogo kama kukupatia kazi na kutoa hiyo mikosi unayohisi.
Hayo ni mapito na majaribu ya dunia, kila mtu anapitia kwa aina yake. Mwisho wa siku Imani yako itakuokoa.
*Kuna kitu nitakutumia pm ufanye, utaleta mrejesho.
Mkuu, mimi sio mganga wala mtoa gundu ila matatizo yako nimeyagundua baada ya kusoma respond zako.kulisha family ya watu 8 kunafeel vipi...
Nakazia 📌🔨Hayo ni mapito na majaribu ya dunia, kila mtu anapitia kwa aina yake. Mwisho wa siku Imani yako itakuokoa.
Kaa kimya sio mjadala wa vichaa huuMkuu, mimi sio mganga wala mtoa gundu ila matatizo yako nimeyagundua baada ya kusoma respond zako.
Familia ya watu nane yaani ni mke na watoto 6? Au huna channel lakini bado unasaidia na ndugu?
Fanya hv, kama ktk hao 6 kuna ndugu watimue, kama una mitoto iliyozidi 18 timua, mke mrudishe kijijini kisha rudi mjini anza kutembea na bahasha jengo baada ya jengo(si unapenda kuajiliwa) ikitokea umekosa, unalala njaa peke yako sio na familia, hii itakuepushia migogoro isiyo ya lazima ambayo ndio hukupagawisha na kujiona una gundu
sawa mgangaKaa kimya sio mjadala wa vichaa huu
Sijakuomba ushauri lakiniMkuu, mimi sio mganga wala mtoa gundu ila matatizo yako nimeyagundua baada ya kusoma respond zako.
Familia ya watu nane yaani ni mke na watoto 6? Au huna channel lakini bado unasaidia na ndugu?
Fanya hv, kama ktk hao 6 kuna ndugu watimue, kama una mitoto iliyozidi 18 timua, mke mrudishe kijijini kisha rudi mjini anza kutembea na bahasha jengo baada ya jengo(si unapenda kuajiliwa) ikitokea umekosa, unalala njaa peke yako sio na familia, hii itakuepushia migogoro isiyo ya lazima ambayo ndio hukupagawisha na kujiona una gundu
Ajataja hao 8 ni kina nani lakini nimeelewa kuwa Ni ndugu zake kwamaana wadogo zake anamajukumu ya kuhudumia maana katika umri wetu ambao Ni transition stage wazazi wanakuwa hawana nguvu, hawana kipato, mmoja kafariki au wote nk Sasa nashindwaga kielewa wewe huna uwelewa huo au wewe kutokea familia zakina Bakhresa na MOMkuu, mimi sio mganga wala mtoa gundu ila matatizo yako nimeyagundua baada ya kusoma respond zako.
Familia ya watu nane yaani ni mke na watoto 6? Au huna channel lakini bado unasaidia na ndugu?
Fanya hv, kama ktk hao 6 kuna ndugu watimue, kama una mitoto iliyozidi 18 timua, mke mrudishe kijijini kisha rudi mjini anza kutembea na bahasha jengo baada ya jengo(si unapenda kuajiliwa) ikitokea umekosa, unalala njaa peke yako sio na familia, hii itakuepushia migogoro isiyo ya lazima ambayo ndio hukupagawisha na kujiona una gundu
Una driving license?Nimesoma mpaka chuo kikuu.
Degree : Education
Masters: Public administration
Short courses
Risk Management
Community Engagement
SPSS