lindunduru
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 392
- 553
Njoo huku wewe, hapo Dar utakutana na watoto wa mjini tu,
Malipo ni baada ya kufanikiwa,hatutakagi ujinga
Malipo ni baada ya kufanikiwa,hatutakagi ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I feel you bro....kuna mengi sijayasimulia lakini nafikiri hii ndio comment ya kwanza nakutana na mtu aliyenielewa vizuri sana. Nashukuru kwa kunipa matumaini nitafanyia kazi ushauri wako.Kaka mganga wa kwanza ni Mungu,Hakika nakwambia.Nlipitia hayo yote.Usi expect kupata feedback unayo itarajia.Ni kheri anae kupa ushauri juu ya uwezo wa Mungu na Si kukupelea kwa mganga(kumbuka sipingi wewe kwenda huko,ila je utapelekwa kwa anae kufaa?Wengi matapeli,au wengine wanaweza kumtibu huyu lakini mwengine hawawezi).Wenye Karama wanaweza kujitibu WENYEWE(spiritually)lakini sisi bado Darja zetu za ucha Mungu ni ndogo spiritual things huwa twatibiwa na watabibu wakidini au waganga,lakini mimi nnacho kwambia mwombe Mungu yeye mwenyewe akuletee mtabibu mzuri juu ya majanga yako(atamleta,tena atakutibu kirahisi kama kupuliza unyoya mwepesi kwa kuku,kikubwa muombe mumgu kwanza).Wajiona umekaa sana kitaa eee?Mimi nmemaliza University mwakwa 2010 nkapata ajira mwaka 2017 February,hapo vipi????Nlipitia dhoruba iliyo nifanya niwe humble kweli kweli nliyaona maisha katika Dimension tofauti na mwanzo.Simdharau tena Baa medi anae jiuza simjaji(nimekoma kujaji watu katika maisha),siku niliyo mpeleka mama yangu Muhimbili na kupanga mstari mbele pakiwa na watu zaidi ya hamsini kwenye foleni mama goti linamtafuna anaumwa mpaka analia machozi na huduma ya haraka( FAST TRUCK)ipo na Sina uwezo wa kulipa(NLILIA ILE SIKU SITA ISAHAU) ...ndo nlijua wanao chukua maamuzi ya kujiuza na kuwa ma baa medi au kazi nyingine tunazo ziona za hivyo tuwaache walivo.Nikwambie tu,ilifika mahali hata baadhi ya washkaji zangu walikuwa wanaiambia live kabisa...."We jamaa nenda kaongee na wazazi nyumbani,hii sio kawaida"mana Kila kitu kilikuwa kinagoma.Mambo nlokuwa na collabo na washakiji nayo yanaharibika,kwa ujumla nlikuwa nawaharibia mpaka wao,ikafika kipindi wakawa wananikwepa.Na kweli msipo kuwa nao wanafanikiwa.Siku moja nlikwenda Bodi ya mkopo hapa Dar kufatilia mkopo wangu majumuisho yake,hapo sasa ndo nlithibitisha...THIS ISSUE IS SERIOUS.Mana nlipanga mstari kama wenzangu wengine,tukaenda wee,nilifika zamu yangu mwenye computer akaitwa ofisi nyingine.Tukangojaaa,nkajichokea,kwenda nje kwa nyuma kule namkuta anakunywa supu wala hana habari,kumshtua akasema hivi bado kuna watu???Si nlimaliza??Nkamwambia noo mbona ulituacha???Akarudi ofisini,kuanza kazi taarifa zangu kaziona vizuri sasa atoe hardcopy ndio mtihani.Printer haifanyi kazi,jamaa kahangaika wee,akanambia kama hebu kaa pembeni aje mwingine,kuja mwingine faster katolewa hardcopy yake kasepa,jamaa akasema niende printer Iko poa,kujaribu tena kwangu ikagoma akacheka,akamuita wa nyuma yangu ikakubali akaondoka,akaniita tena ikagoma,jamaa akaniangaliaaa kisha akamuita mfanya kazi wa ofini ya jirani aje alone maajabu.Yule wa osifi ya jirani akakaa yeye sasa kwenye computer kujaribu jina langu ilikataa,kujaribu aliefata ikakubali,kwa ujumla watu wakawa wananishangaa Mwisho wa siku nlijiona kituko nkatoka zangu.Nlicho kifanya sasa,ni kufanya ibada za usiku,Wallah saa nane za usiku ilikuwa ni kharam kwangu kula.Naomba nalia mpaka kwikwi ndani ya swala.Naomba mpaka nahisi kabisa Mungu huyu hapa.Yani nahisi kabisaa,Mungu huyu hapa na anashauku ya kunisikiliza.Ukafika mwezi wa ramadhani,nkasema hapa sasando penyewe,nlifanya ibada sanaaa,kwenye kumi la mwisho nkiwa natafuta usiku wa cheo....Kuna mtu akanijia ndotoni akanambia njoo badae tuonane stendi ya Mbezi mwisho.Nlivoamka tu asubuhi nkaoga huyoooo,mpaka Mbezi mwisho stendi,nkawa na randa randa tu pale,baada swala ya dhuhri nkarudi Tena kiranda randa ikafika mahali nkawa kama nimejikatia tamàa hivi,mara naskia mtu anaita kakaa,kakaa jiran yangu akanigusa kunionesha waitwa kule...ni jamaa alikuwa kwenye gari na kataka kuondoka.Nkaenda huku natetemeka.Kiganja chake ni kikuwa zaidi ya changu,akanishika mkono Ile ya kusalimiana kumbe alikuwa kashika na kitu flani.Alinishika kama sekunde thelathini hivi.Naapa kwa Mungu jamaa alivoniangalia machoni...sikuweka kubandua macho yangu kutoka kwenye macho yake,aliniangaliaaa haongei kitu.Napata tabu nataka kujitoa siwezi,huo mda nimelowa iamcho mpaka kwenye boxer.Kisha akanambia (MAELEZO YOTE YA JINSI YA KUTUMIA YAKO KWA NDANI).Kisha akaniachia.Sikutaka kumwangalia Wala kugeuka.Nliondoka zangu nkaenda kukaa ng'ambo ya barabara Ili jasho likauke Ili nipande hiace niende nnapokaa.Siku Ile nlipo tumia hiyo dawa,nlilala usingizi ambao sikumbuki kwenye maisha yangu kama nshawahi kula usingizi mnono vile.Nkawa naihisi furaha(Joy)hata nkiwa natembea mpaka machozi yananitoka.Story tu iwe fupi,baada ya miezi mitatu,nliitwa interview katika sehem ambayo ni tata kweli kweli,Kila alofanyiwa interview alikuwa na mtu wake pale ofisini,wonder enough,kazi mkapata Mimi.Nlipata mafanikio ya haraka mabayo naamini yalifidia mda wooote nlochelewa kupata ajira.Mungu kwanza,Mungu atakuletea mtabibu wa kweli hata kupitia kwa marafiki zako tu utasikia hebu twende sehem flani,kumbe ndo Mungu kakupangia huko,lkn tanguliza maombi sana kwanza.
Hakuna kitu kama hicho,Diamond hakutumia uganga na ramli kufika alipo.Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena.
Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa.
Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo wao nikakata tamaa ila nimeamua nirudi tena sina options.
Najua kuna watu wamevuka stage ya utoto wanayaelewa vizuri maisha na watanielewa kinachonisumbua
Natafuta mtaalam wa jadi mzuri ataeweza nisaidia kupata kazi na kuniondolea gundu.
Maana kwa sasa kila nachojaribu kufanya kinaishia kuharibika naomba kazi miaka 3+ natoswa siku hizi sipati hata simu ya interview nna mwaka sasa.
Ningefurahi zaidi angekuwa Dar maana pia nauli ya kwenda mbali na DSM ni changamoto kwangu ila kama anakuwa mbali sio mbaya nitapambana nimfate.
Nasubiri msaada PM.
Mtaonitukana nimewasamehe in advance.
Hakuna kitu kama hicho,Diamond hakutumia uganga na ramli kufika alipo.
Kipaji chake kimemfikisha hapo.
Juma nature alikuwa na kipaji kikubwa lakini hqkufika alipofika Diamond!ila wa kipindi chske wapo waliofika sehemu nzuri,
Kwa ujuzi wako na vipaji ukiamia USA,unatoboa,bongo fulsa ni finyu sana,
Hata Hawa waganga wa kikristo wanaojiita manabii,wanapiga pesa za wajinga tu,
Tafuta fulsa Kwa nguvu zako zote,
Hii inaweza kuwa fursa ya kuwapiga wajinga wajinga ngoja nione uwezekano wa kuweka vibango vya kutibu tatizo la kukosa ajira.Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena.
Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa.
Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo wao nikakata tamaa ila nimeamua nirudi tena sina options.
Najua kuna watu wamevuka stage ya utoto wanayaelewa vizuri maisha na watanielewa kinachonisumbua
Natafuta mtaalam wa jadi mzuri ataeweza nisaidia kupata kazi na kuniondolea gundu.
Maana kwa sasa kila nachojaribu kufanya kinaishia kuharibika naomba kazi miaka 3+ natoswa siku hizi sipati hata simu ya interview nna mwaka sasa.
Ningefurahi zaidi angekuwa Dar maana pia nauli ya kwenda mbali na DSM ni changamoto kwangu ila kama anakuwa mbali sio mbaya nitapambana nimfate.
Nasubiri msaada PM.
Mtaonitukana nimewasamehe in advance.
Hakuna mganga zaidi ya Mungu kaka.Mganga au ustaadh
Hii imenigusa sana.Kaka mganga wa kwanza ni Mungu,Hakika nakwambia.Nlipitia hayo yote.Usi expect kupata feedback unayo itarajia.Ni kheri anae kupa ushauri juu ya uwezo wa Mungu na Si kukupelea kwa mganga(kumbuka sipingi wewe kwenda huko,ila je utapelekwa kwa anae kufaa?Wengi matapeli,au wengine wanaweza kumtibu huyu lakini mwengine hawawezi).Wenye Karama wanaweza kujitibu WENYEWE(spiritually)lakini sisi bado Darja zetu za ucha Mungu ni ndogo spiritual things huwa twatibiwa na watabibu wakidini au waganga,lakini mimi nnacho kwambia mwombe Mungu yeye mwenyewe akuletee mtabibu mzuri juu ya majanga yako(atamleta,tena atakutibu kirahisi kama kupuliza unyoya mwepesi kwa kuku,kikubwa muombe mumgu kwanza).Wajiona umekaa sana kitaa eee?Mimi nmemaliza University mwakwa 2010 nkapata ajira mwaka 2017 February,hapo vipi????Nlipitia dhoruba iliyo nifanya niwe humble kweli kweli nliyaona maisha katika Dimension tofauti na mwanzo.Simdharau tena Baa medi anae jiuza simjaji(nimekoma kujaji watu katika maisha),siku niliyo mpeleka mama yangu Muhimbili na kupanga mstari mbele pakiwa na watu zaidi ya hamsini kwenye foleni mama goti linamtafuna anaumwa mpaka analia machozi na huduma ya haraka( FAST TRUCK)ipo na Sina uwezo wa kulipa(NLILIA ILE SIKU SITA ISAHAU) ...ndo nlijua wanao chukua maamuzi ya kujiuza na kuwa ma baa medi au kazi nyingine tunazo ziona za hivyo tuwaache walivo.Nikwambie tu,ilifika mahali hata baadhi ya washkaji zangu walikuwa wanaiambia live kabisa...."We jamaa nenda kaongee na wazazi nyumbani,hii sio kawaida"mana Kila kitu kilikuwa kinagoma.Mambo nlokuwa na collabo na washakiji nayo yanaharibika,kwa ujumla nlikuwa nawaharibia mpaka wao,ikafika kipindi wakawa wananikwepa.Na kweli msipo kuwa nao wanafanikiwa.Siku moja nlikwenda Bodi ya mkopo hapa Dar kufatilia mkopo wangu majumuisho yake,hapo sasa ndo nlithibitisha...THIS ISSUE IS SERIOUS.Mana nlipanga mstari kama wenzangu wengine,tukaenda wee,nilifika zamu yangu mwenye computer akaitwa ofisi nyingine.Tukangojaaa,nkajichokea,kwenda nje kwa nyuma kule namkuta anakunywa supu wala hana habari,kumshtua akasema hivi bado kuna watu???Si nlimaliza??Nkamwambia noo mbona ulituacha???Akarudi ofisini,kuanza kazi taarifa zangu kaziona vizuri sasa atoe hardcopy ndio mtihani.Printer haifanyi kazi,jamaa kahangaika wee,akanambia kama hebu kaa pembeni aje mwingine,kuja mwingine faster katolewa hardcopy yake kasepa,jamaa akasema niende printer Iko poa,kujaribu tena kwangu ikagoma akacheka,akamuita wa nyuma yangu ikakubali akaondoka,akaniita tena ikagoma,jamaa akaniangaliaaa kisha akamuita mfanya kazi wa ofini ya jirani aje alone maajabu.Yule wa osifi ya jirani akakaa yeye sasa kwenye computer kujaribu jina langu ilikataa,kujaribu aliefata ikakubali,kwa ujumla watu wakawa wananishangaa Mwisho wa siku nlijiona kituko nkatoka zangu.Nlicho kifanya sasa,ni kufanya ibada za usiku,Wallah saa nane za usiku ilikuwa ni kharam kwangu kula.Naomba nalia mpaka kwikwi ndani ya swala.Naomba mpaka nahisi kabisa Mungu huyu hapa.Yani nahisi kabisaa,Mungu huyu hapa na anashauku ya kunisikiliza.Ukafika mwezi wa ramadhani,nkasema hapa sasando penyewe,nlifanya ibada sanaaa,kwenye kumi la mwisho nkiwa natafuta usiku wa cheo....Kuna mtu akanijia ndotoni akanambia njoo badae tuonane stendi ya Mbezi mwisho.Nlivoamka tu asubuhi nkaoga huyoooo,mpaka Mbezi mwisho stendi,nkawa na randa randa tu pale,baada swala ya dhuhri nkarudi Tena kiranda randa ikafika mahali nkawa kama nimejikatia tamàa hivi,mara naskia mtu anaita kakaa,kakaa jiran yangu akanigusa kunionesha waitwa kule...ni jamaa alikuwa kwenye gari na kataka kuondoka.Nkaenda huku natetemeka.Kiganja chake ni kikuwa zaidi ya changu,akanishika mkono Ile ya kusalimiana kumbe alikuwa kashika na kitu flani.Alinishika kama sekunde thelathini hivi.Naapa kwa Mungu jamaa alivoniangalia machoni...sikuweka kubandua macho yangu kutoka kwenye macho yake,aliniangaliaaa haongei kitu.Napata tabu nataka kujitoa siwezi,huo mda nimelowa iamcho mpaka kwenye boxer.Kisha akanambia (MAELEZO YOTE YA JINSI YA KUTUMIA YAKO KWA NDANI).Kisha akaniachia.Sikutaka kumwangalia Wala kugeuka.Nliondoka zangu nkaenda kukaa ng'ambo ya barabara Ili jasho likauke Ili nipande hiace niende nnapokaa.Siku Ile nlipo tumia hiyo dawa,nlilala usingizi ambao sikumbuki kwenye maisha yangu kama nshawahi kula usingizi mnono vile.Nkawa naihisi furaha(Joy)hata nkiwa natembea mpaka machozi yananitoka.Story tu iwe fupi,baada ya miezi mitatu,nliitwa interview katika sehem ambayo ni tata kweli kweli,Kila alofanyiwa interview alikuwa na mtu wake pale ofisini,wonder enough,kazi mkapata Mimi.Nlipata mafanikio ya haraka mabayo naamini yalifidia mda wooote nlochelewa kupata ajira.Mungu kwanza,Mungu atakuletea mtabibu wa kweli hata kupitia kwa marafiki zako tu utasikia hebu twende sehem flani,kumbe ndo Mungu kakupangia huko,lkn tanguliza maombi sana kwanza.
Kuna mtu juu hapo aanajiita mwalimuMkuu sijakusoma, mwalimu yupi na maficho yapi?
Mwalimu Athumani ramadhani naliona alikuita pm.HukwendaMkuu sijakusoma, mwalimu yupi na maficho yapi?
We jamaa bwana eti pita nyumba kwa nyumba sijui ushuzi gani yahn umeongea simple sana.Samahani sikukatishi tamaa, lakini inakuaje mwalimu unakosa kazi, mimi binafsi ni mwanafunzi wa chuo lakini natafutwa sana na wanafunzi kuwafundisha masomo yao especially advance na sisomei ualimu, sasa wewe inakuaje unakosa kazi wakati wengine sio walimu na tunafuatwa na watu ili kuwafundisha? anyway popote ulipo huwezi kosa wanafunzi wenye changamoto kwenye masomo uliyosomea pita nyumba kwa nyumba onana na wazazi waelewe uwezo wako then wazazi wachache watatkukatisha tamaa lakini wachache watakuelewa na watakupa nafasi ya kuwatatulia matatizo watoto wao kwenye masomo husika ukipata hata watu watano ukawanyia vizuri basi hiyo chain utakayoletewa hutaamini na ndo utakuwa mwanzo wako wa kupiga hela.
Pia nadhani hujajikubali na kuamua kuanza upya, unategemea kuendelea ulipo ishia na masters yako kiukweli hiyo itakunyanyasa kama suala la ajira limekua gumu basi rahisisha kwa kufanya kile kilicho ndani ya uwezo wako kulingana na resources ulizo nazo(maarifa yako).
Nimeshawasiliana nae.Kuna mtu juu hapo aanajiita mwalimu
Mwalimu Athumani ramadhani naliona alikuita pm.Hukwenda
Dogo yupo chuo, inabidi kumuelewa tu. Ni kama mtu akikupigia hesabu za kilimo cha WhatsApp unamsikiliza hakuna haja ya kugombana nae.We jamaa bwana eti pita nyumba kwa nyumba sijui ushuzi gani yahn umeongea simple sana.
SawaNimeshawasiliana nae.
Msaada kakupatia.Nimeshawasiliana nae.
Aisee..Hii imenigusa sanaKaka mganga wa kwanza ni Mungu,Hakika nakwambia.Nlipitia hayo yote.Usi expect kupata feedback unayo itarajia.Ni kheri anae kupa ushauri juu ya uwezo wa Mungu na Si kukupelea kwa mganga(kumbuka sipingi wewe kwenda huko,ila je utapelekwa kwa anae kufaa?Wengi matapeli,au wengine wanaweza kumtibu huyu lakini mwengine hawawezi).Wenye Karama wanaweza kujitibu WENYEWE(spiritually)lakini sisi bado Darja zetu za ucha Mungu ni ndogo spiritual things huwa twatibiwa na watabibu wakidini au waganga,lakini mimi nnacho kwambia mwombe Mungu yeye mwenyewe akuletee mtabibu mzuri juu ya majanga yako(atamleta,tena atakutibu kirahisi kama kupuliza unyoya mwepesi kwa kuku,kikubwa muombe mumgu kwanza).Wajiona umekaa sana kitaa eee?Mimi nmemaliza University mwakwa 2010 nkapata ajira mwaka 2017 February,hapo vipi????Nlipitia dhoruba iliyo nifanya niwe humble kweli kweli nliyaona maisha katika Dimension tofauti na mwanzo.Simdharau tena Baa medi anae jiuza simjaji(nimekoma kujaji watu katika maisha),siku niliyo mpeleka mama yangu Muhimbili na kupanga mstari mbele pakiwa na watu zaidi ya hamsini kwenye foleni mama goti linamtafuna anaumwa mpaka analia machozi na huduma ya haraka( FAST TRUCK)ipo na Sina uwezo wa kulipa(NLILIA ILE SIKU SITA ISAHAU) ...ndo nlijua wanao chukua maamuzi ya kujiuza na kuwa ma baa medi au kazi nyingine tunazo ziona za hivyo tuwaache walivo.Nikwambie tu,ilifika mahali hata baadhi ya washkaji zangu walikuwa wanaiambia live kabisa...."We jamaa nenda kaongee na wazazi nyumbani,hii sio kawaida"mana Kila kitu kilikuwa kinagoma.Mambo nlokuwa na collabo na washakiji nayo yanaharibika,kwa ujumla nlikuwa nawaharibia mpaka wao,ikafika kipindi wakawa wananikwepa.Na kweli msipo kuwa nao wanafanikiwa.Siku moja nlikwenda Bodi ya mkopo hapa Dar kufatilia mkopo wangu majumuisho yake,hapo sasa ndo nlithibitisha...THIS ISSUE IS SERIOUS.Mana nlipanga mstari kama wenzangu wengine,tukaenda wee,nilifika zamu yangu mwenye computer akaitwa ofisi nyingine.Tukangojaaa,nkajichokea,kwenda nje kwa nyuma kule namkuta anakunywa supu wala hana habari,kumshtua akasema hivi bado kuna watu???Si nlimaliza??Nkamwambia noo mbona ulituacha???Akarudi ofisini,kuanza kazi taarifa zangu kaziona vizuri sasa atoe hardcopy ndio mtihani.Printer haifanyi kazi,jamaa kahangaika wee,akanambia kama hebu kaa pembeni aje mwingine,kuja mwingine faster katolewa hardcopy yake kasepa,jamaa akasema niende printer Iko poa,kujaribu tena kwangu ikagoma akacheka,akamuita wa nyuma yangu ikakubali akaondoka,akaniita tena ikagoma,jamaa akaniangaliaaa kisha akamuita mfanya kazi wa ofini ya jirani aje alone maajabu.Yule wa osifi ya jirani akakaa yeye sasa kwenye computer kujaribu jina langu ilikataa,kujaribu aliefata ikakubali,kwa ujumla watu wakawa wananishangaa Mwisho wa siku nlijiona kituko nkatoka zangu.Nlicho kifanya sasa,ni kufanya ibada za usiku,Wallah saa nane za usiku ilikuwa ni kharam kwangu kula.Naomba nalia mpaka kwikwi ndani ya swala.Naomba mpaka nahisi kabisa Mungu huyu hapa.Yani nahisi kabisaa,Mungu huyu hapa na anashauku ya kunisikiliza.Ukafika mwezi wa ramadhani,nkasema hapa sasando penyewe,nlifanya ibada sanaaa,kwenye kumi la mwisho nkiwa natafuta usiku wa cheo....Kuna mtu akanijia ndotoni akanambia njoo badae tuonane stendi ya Mbezi mwisho.Nlivoamka tu asubuhi nkaoga huyoooo,mpaka Mbezi mwisho stendi,nkawa na randa randa tu pale,baada swala ya dhuhri nkarudi Tena kiranda randa ikafika mahali nkawa kama nimejikatia tamàa hivi,mara naskia mtu anaita kakaa,kakaa jiran yangu akanigusa kunionesha waitwa kule...ni jamaa alikuwa kwenye gari na kataka kuondoka.Nkaenda huku natetemeka.Kiganja chake ni kikuwa zaidi ya changu,akanishika mkono Ile ya kusalimiana kumbe alikuwa kashika na kitu flani.Alinishika kama sekunde thelathini hivi.Naapa kwa Mungu jamaa alivoniangalia machoni...sikuweka kubandua macho yangu kutoka kwenye macho yake,aliniangaliaaa haongei kitu.Napata tabu nataka kujitoa siwezi,huo mda nimelowa iamcho mpaka kwenye boxer.Kisha akanambia (MAELEZO YOTE YA JINSI YA KUTUMIA YAKO KWA NDANI).Kisha akaniachia.Sikutaka kumwangalia Wala kugeuka.Nliondoka zangu nkaenda kukaa ng'ambo ya barabara Ili jasho likauke Ili nipande hiace niende nnapokaa.Siku Ile nlipo tumia hiyo dawa,nlilala usingizi ambao sikumbuki kwenye maisha yangu kama nshawahi kula usingizi mnono vile.Nkawa naihisi furaha(Joy)hata nkiwa natembea mpaka machozi yananitoka.Story tu iwe fupi,baada ya miezi mitatu,nliitwa interview katika sehem ambayo ni tata kweli kweli,Kila alofanyiwa interview alikuwa na mtu wake pale ofisini,wonder enough,kazi mkapata Mimi.Nlipata mafanikio ya haraka mabayo naamini yalifidia mda wooote nlochelewa kupata ajira.Mungu kwanza,Mungu atakuletea mtabibu wa kweli hata kupitia kwa marafiki zako tu utasikia hebu twende sehem flani,kumbe ndo Mungu kakupangia huko,lkn tanguliza maombi sana kwanza.
Connection gani unataka? Details nilizotoa hazikutoshi?Nipe connection yake bro
UlifauluLabda niseme kitu mimi nimeanzisha thread sio kwa ajili ya kusaka ushauri wa kimaisha au wa kiimani.
Nimeomba watu wenye connection na wataalam wanisaidie nikafanyiwe tiba, nipotee au nipatie kwa sasa huu ndio uamuzi sahihi kabisa kwangu nilioamua kuuchukua.
Miaka takribani minne mtaani sijui kuna ushauri gani mpya utakuja kunipa ambao sijakutana nao.
Mimi ndio naelewwa maisha yangu kwa sasa yapoje na nnawaelewa vyema binadamu kwa sasa so usijisumbue kuandika nasaha zako unapoteza nguvu zako tu. Ndio maana niliwaambia mimi sijadata nna uwezo wa kureason nini kipo sawa na kipi hakipo sawa kwenye maisha yangu.
Hapana bado mkuu.Ulifaulu
Bado kwamba hukupata huyo mtaalam au ulipata lkn haukufanikiwa?Hapana bado mkuu.