Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

Njoo huku wewe, hapo Dar utakutana na watoto wa mjini tu,
Malipo ni baada ya kufanikiwa,hatutakagi ujinga
 
I feel you bro....kuna mengi sijayasimulia lakini nafikiri hii ndio comment ya kwanza nakutana na mtu aliyenielewa vizuri sana. Nashukuru kwa kunipa matumaini nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Hakuna kitu kama hicho,Diamond hakutumia uganga na ramli kufika alipo.
Kipaji chake kimemfikisha hapo.
Juma nature alikuwa na kipaji kikubwa lakini hqkufika alipofika Diamond!ila wa kipindi chske wapo waliofika sehemu nzuri,
Kwa ujuzi wako na vipaji ukiamia USA,unatoboa,bongo fulsa ni finyu sana,
Hata Hawa waganga wa kikristo wanaojiita manabii,wanapiga pesa za wajinga tu,
Tafuta fulsa Kwa nguvu zako zote,
 

Nakuakikishia bado hauijui vizuri dunia na unaweza ifahamu kwa kuchelewa sana.
 
Waganga wanasaidia sana matokeo ndio sio sahiyoo Kwa kwale waukweli.
Ila dini Yako ni muislamu???
 
Hii inaweza kuwa fursa ya kuwapiga wajinga wajinga ngoja nione uwezekano wa kuweka vibango vya kutibu tatizo la kukosa ajira.
 
Hii imenigusa sana.
 
We jamaa bwana eti pita nyumba kwa nyumba sijui ushuzi gani yahn umeongea simple sana.
 
Aisee..Hii imenigusa sana
 
Ulifaulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…