Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

huko tu kumtafuta huyo mtaalamu me naona ndo ajira yenyewe, we mtakatifu yamekushinda ya wathungu naona umeamua kurudi nyumbani chetu ni chetu
 
Mkuu kuna mtaalamu hata kama ujaenda shule unaenda kuomba KAZI yale majengo marefu pesa zinapokaa ni noma
 
Bila shaka wewe hutukanwi bali unaambiwa ukweli na wewe unaona ni matusi! Hakuna mganga wa kuweza kukusaidia kwenye hili. Wangekuwepo waganga wa aina hii mitaani kusingekuwa na jobles. Huyo ''mtaalam'' mwenyewe unayedhani yupo, chunguza vizuri, utakuta na yeye alikosa ajira akaamua kujiajiri kwa kuwa ''mtaalam''.
 
Maisha ni fumbo zito ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…