900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
huko tu kumtafuta huyo mtaalamu me naona ndo ajira yenyewe, we mtakatifu yamekushinda ya wathungu naona umeamua kurudi nyumbani chetu ni chetuKama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena.
Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa.
Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo wao nikakata tamaa ila nimeamua nirudi tena sina options.
Najua kuna watu wamevuka stage ya utoto wanayaelewa vizuri maisha na watanielewa kinachonisumbua
Natafuta mtaalam wa jadi mzuri ataeweza nisaidia kupata kazi na kuniondolea gundu.
Maana kwa sasa kila nachojaribu kufanya kinaishia kuharibika naomba kazi miaka 3+ natoswa siku hizi sipati hata simu ya interview nna mwaka sasa.
Ningefurahi zaidi angekuwa Dar maana pia nauli ya kwenda mbali na DSM ni changamoto kwangu ila kama anakuwa mbali sio mbaya nitapambana nimfate.
Nasubiri msaada PM.
Mtaonitukana nimewasamehe in advance.