Natafuta mtu anayehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi

makame clan

Member
Joined
Aug 23, 2023
Posts
6
Reaction score
2
Habari!

Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested
Mawasiliano.

0672650624
 
Natamani sana kuimiliki hii kampuni sio muumini wa kushare ila weka wazi baadhi ya vitu ulivyokamilisha tayari na unanufaika vipi atakaeshirikiana nawe
 
Mkuu sikukatishi tamaa ila hebu nikuulize kidogo, unahitaji mtu awe na mtaji kama shilingi ngapi hivi...... alafu ukipata hili jibu sasa jiulize wewe hivi mtu mwenye hela hii anashindwa kupata leseni ya kampuni ya ulinzi?

Leseni sio mtaji wa kuongia ubia mkuu, unaweza kuwa na kitu kingine zaidi ya hela ukakichangia na wewe ila leseni kila mtu anaweza ipata akiamua mkuu. Fanya homework yako tena utafute kitu kingine utakachochangia wewe kama wewe
 
Ili umiliki kampuni ya ulinzi unatakiwa uwe mstaafu wa majeshi yetu. Inawezekana kuna mtu ndio ana mtaji ila vigezo vya kupata leseni vikamshinda. Nikama kuanzisha kampuni ya ukandarasi.
 
HILI ULILIOANDIKA SIO KWELI HATA KIDOGO.
Mtu yeyote anaweza kusajili na kumiliki kampuni ya ulinzi
 
Ili umiliki kampuni ya ulinzi unatakiwa uwe mstaafu wa majeshi yetu. Inawezekana kuna mtu ndio ana mtaji ila vigezo vya kupata leseni vikamshinda. Nikama kuanzisha kampuni ya ukandarasi.
Kuna mtu anaitwa kitumbo ana miliki KITUMBO SECURITY hakuwahi kuwa mtumishi was jeshi lolote
 
Back
Top Bottom