makame clan
Member
- Aug 23, 2023
- 6
- 2
Ili umiliki kampuni ya ulinzi unatakiwa uwe mstaafu wa majeshi yetu. Inawezekana kuna mtu ndio ana mtaji ila vigezo vya kupata leseni vikamshinda. Nikama kuanzisha kampuni ya ukandarasi.Mkuu sikukatishi tamaa ila hebu nikuulize kidogo, unahitaji mtu awe na mtaji kama shilingi ngapi hivi...... alafu ukipata hili jibu sasa jiulize wewe hivi mtu mwenye hela hii anashindwa kupata leseni ya kampuni ya ulinzi?
Leseni sio mtaji wa kuongia ubia mkuu, unaweza kuwa na kitu kingine zaidi ya hela ukakichangia na wewe ila leseni kila mtu anaweza ipata akiamua mkuu. Fanya homework yako tena utafute kitu kingine utakachochangia wewe kama wewe
Hii sababu imekaa kimtaani sana hearsayunatakiwa uwe mstaafu wa majeshi yetu.
HILI ULILIOANDIKA SIO KWELI HATA KIDOGO.Ili umiliki kampuni ya ulinzi unatakiwa uwe mstaafu wa majeshi yetu. Inawezekana kuna mtu ndio ana mtaji ila vigezo vya kupata leseni vikamshinda. Nikama kuanzisha kampuni ya ukandarasi.
Kuna mtu anaitwa kitumbo ana miliki KITUMBO SECURITY hakuwahi kuwa mtumishi was jeshi loloteIli umiliki kampuni ya ulinzi unatakiwa uwe mstaafu wa majeshi yetu. Inawezekana kuna mtu ndio ana mtaji ila vigezo vya kupata leseni vikamshinda. Nikama kuanzisha kampuni ya ukandarasi.
ChaiIli umiliki kampuni ya ulinzi unatakiwa uwe mstaafu wa majeshi yetu. Inawezekana kuna mtu ndio ana mtaji ila vigezo vya kupata leseni vikamshinda. Nikama kuanzisha kampuni ya ukandarasi.