Dunga_mawe
Member
- Mar 29, 2023
- 22
- 25
Kaka uh nayo connection ya GGM ,Buzwagi,au nyamongo...nipe mzee hiyo pesa nitakulipaNjoo DM na laki 5
Kuweni makini vijana mtaishia kuibiwa pesa zenu. Hamna mambo rahisi kiasi hichiKaka uh nayo connection ya GGM ,Buzwagi,au nyamongo...nipe mzee hiyo pesa nitakulipa
Bro ni kweli una ushauri mzuri ila hakuna mtu anaependa kutafuta kazi mitandaoni ni maisha tu ndo yanafanya hivi,tunajarbu kila njia kakaAcha kutafuta kazi mtandaoni, Mambo mgodini sio rahisi kiasi hichi. Hapa baada ya kuweka comment kwamba kijana aje inbox na 500k wamekuja kama wawili inbox kuuliza utaratibu. Mimi sio tapeli ila kwa tamaa za hawa nahisi kwa tapeli angepata heta hela ya vocha kutokea kwao.
Mkuu fungua PM Tutete kidogo🙏