Natafuta mtu mwenye koneksheni za migodini nahitaji kazi huko

Natafuta mtu mwenye koneksheni za migodini nahitaji kazi huko

Dunga_mawe

Member
Joined
Mar 29, 2023
Posts
22
Reaction score
25
Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu.

Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22,

Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za migodini,migodi za wachimbaji wadogo pia hata wakubwa.

Natafuta maisha ndugu zangu kwa atakaeguswa au kwa alie muhusika acomment hapo chini nitamfata PM

nasoma comments,Asanteni sana.
 
Acha kutafuta kazi mtandaoni, Mambo mgodini sio rahisi kiasi hichi. Hapa baada ya kuweka comment kwamba kijana aje inbox na 500k wamekuja kama wawili inbox kuuliza utaratibu. Mimi sio tapeli ila kwa tamaa za hawa nahisi kwa tapeli angepata heta hela ya vocha kutokea kwao.
 
Bro ni kweli una ushauri mzuri ila hakuna mtu anaependa kutafuta kazi mitandaoni ni maisha tu ndo yanafanya hivi,tunajarbu kila njia kaka
 
Back
Top Bottom