Natafuta mtu/ taasisi ya kunikopesha tshs laki mbili na nusu, nitalipa 340k ndani ya miezi minne.

Hii serikali ina laana, Yani mtumishi huna access ya loan ofisini?

Ndio maana Kausha damu wanazidi kushamili kumbe wafanyakazi wengi wa Tanzania wapo motoni.
Huyu itakua kakopa hadi kakopa tena na hakopesheki tena ...ofisini wala benki na kausha damu hapokelewi .

Msaada pekee auze hiyo simu au TV amalize shida zake
 
Eeh Mungu mwenyezi nakushukuru, kumbe umenibarili ila tu upofu wa kibinadamu na fikra nashindwa kuona hilo.

Ikiwa tu budget ya mafuta yangu ya gari kwa week ni 250k, na ninaweka mafuta bila shida, ila kuna mja wako huku hana access na hiyo hela.

Hakika wengi tumebarikiwa sema hatujui tu.
 
msaidie sasa... nina wasi wasi hata baiskeli wewe huna 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom