Kibiriti ngoma
Member
- Feb 9, 2024
- 42
- 80
Huyu itakua kakopa hadi kakopa tena na hakopesheki tena ...ofisini wala benki na kausha damu hapokelewi .Hii serikali ina laana, Yani mtumishi huna access ya loan ofisini?
Ndio maana Kausha damu wanazidi kushamili kumbe wafanyakazi wengi wa Tanzania wapo motoni.
Uko mkoa gani? Collateral ni nn?Nashukuru kwa michango, nilikuwa nahitaji taarifa fulani za kina kutokana na maoni ya wadau through jf. Mbarikiwe wapendwa.
msaidie sasa... nina wasi wasi hata baiskeli wewe huna 🤣🤣🤣Eeh Mungu mwenyezi nakushukuru, kumbe umenibarili ila tu upofu wa kibinadamu na fikra nashindwa kuona hilo.
Ikiwa tu budget ya mafuta yangu ya gari kwa week ni 250k, na ninaweka mafuta bila shida, ila kuna mja wako huku hana access na hiyo hela.
Hakika wengi tumebarikiwa sema hatujui tu.