Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

Fkm2020

Member
Joined
May 19, 2020
Posts
68
Reaction score
53
Mimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na biashara hii kwa muda mrefu sababu nimekulia mazingira ya kijijini.

Lengo langu nipate mtu atakayekuwa tayari kutoa mtaji ili tuweze kufanya biashara hii maana kinachonikwamisha ni mtaji tu!

Nipo tayari kutoa vyeti vyangu kama dhamana ili kujenga uaminifu kwa siku za mwanzo za biashara. Nafikiri mwenye nia njema naomba anipm kwa maelezo zaidi
 
Wimbi la vijana wa kuomba aidha mkopo au msaada wa kifedha na kusema “naweka vyeti vyangu dhamana” limeongezeka.

Swali langu: Sasa vyeti vyako mtu atavifanyia nini incase ukikiuka makubaliano? Cheti hakina thamani hadi kiwe na mwenye cheti. Tena kwa zama hizi za Magu hakuna hata anayeweza nunua cheti feki.

Kwanza wengi wenu ni wale ambao vyeti wala havina maana kwenu mfano wewe uliyesoma IT hlf unataka kuuza nafaka. Means cheti umegundua hakina issue.
 
Hii pia inaonyesha jinsi elimu yetu ilivyo haiendani na mahitaji ya jamii kwa sasa
 
Vyeti vinaweza pigwa mnada? Kwa sasa taasisi nyingi ukitoa za Serikali huwa wanaajili bila hata kuuliza vyeti, wanacho amgalia ni CV,

Angalia njia nyingine ya kutumia kushawishi mtu, naamini hata uaminifu ni mtaji tosha

Upo sahihi siwezi kukupinga ila raha ya ngoma wanaijua wanaocheza na laiti ungejua Graduate wanachopitia kwa sasa hata wale wenye gpa za first class usingezungumza kwa mihemko hivo lakini kwa swala la thamani ya vyeti uko sahihi sikupingi ila mwenye akili timamu atajua unataka kuonesha uzito tu wa jambo na sio uhakisia.

Kuwa mtu atakupa pesa kwa dhamana ya vyeti ila kama ntapata nafasi ya kuonana na mwenye nia means tunaweza kaa chini tukapanga njia bora ya kuendeleza wazo langu na huku yeye akiwa mshiriki pia.
 
Vyeti vinaweza pigwa mnada? Kwa sasa taasisi nyingi ukitoa za Serikali huwa wanaajili bila hata kuuliza vyeti, wanacho amgalia ni CV,

Angalia njia nyingine ya kutumia kushawishi mtu, naamini hata uaminifu ni mtaji tosha
Tatzo tunaongea huku tukiwa tunajua uhalisia wa mambo! Hivi ni uaminifu wa namna gani unahitajika ili mtu asie ndugu yako aweze kukuamini na kukusupport kwa kile unachokifanya ikiwa bado hajui atanufaikaje? Tusipende kuweka mambo maraisi kwa vile tumefanikiwa lakini tuwe wawazi wa namna njia ya mafanikio ilivyo ngumu
 
Uupo sahihi siwezi kukupinga ila raha ya ngoma wanaijua wanaocheza na laiti ungejua Graduate wanachopitia kwa sasa hata wale wenye gpa za first class usingezungumza kwa mihemko hivo lakini kwa swala la thamani ya vyeti uko sahihi sikupingi ila mwenye akili timamu atajua unataka kuonesha uzito tu wa jambo na sio uhakisia kuwa mtu atakupa pesa kwa dhamana ya vyeti ila kama ntapata nafasi ya kuonana na mwenye nia means tunaweza kaa chini tukapanga njia bora ya kuendeleza wazo langu na huku yeye akiwa mshiriki pia.

Mihemko iko wapi kwenye post yangu? Kuna asiyepitia magumu hapa duniani ndugu?

Usitake huruma kila saa, dunia haiko hivyo. You have to make sense katika kila usemacho and you have to mean it. Kama huna dhamana sema sina dhamana ninachohitaji ni kuaminiwa tu, habari ya vyeti inaondoa seriousness ya bandiko kiasi flani sababu unaonekana “wale wale”. Hakuna mtu atatoa pesa yake kiholela usawa huu so your case has to be strong.

Unawaza kwenda kumuelewesha mtu baada ya kukaa naye chini ukisahau kuwa kukosa ushawishi kwa post yako kunaweza fanya ukose huyo wa kukaa naye chini.
 
Wimbi la vijana wa kuomba aidha mkopo au msaada wa kifedha na kusema “naweka vyeti vyangu dhamana” limeongezeka.

Swali langu: Sasa vyeti vyako mtu atavifanyia nini incase ukikiuka makubaliano? Cheti hakina thamani hadi kiwe na mwenye cheti. Tena kwa zama hizi za Magu hakuna hata anayeweza nunua cheti feki.

Kwanza wengi wenu ni wale ambao vyeti wala havina maana kwenu mfano wewe uliyesoma IT hlf unataka kuuza nafaka. Means cheti umegundua hakina issue.
VIJANA WANA CHANGAMOTO NYINGI SANA, Wanahangaika tu
Bora huyu anayehangaika na cheti ndio rasrimali pekee alionayo kuweza kumdhamin japo haikidhi vigezo vyote vya Rahani, je wewe unampa ushauri gani ili kufikia lengo lake ?
 
Mihemko iko wapi kwenye post yangu? Kuna asiyepitia magumu hapa duniani ndugu?

Usitake huruma kila saa, dunia haiko hivyo. You have to make sense katika kila usemacho and you have to mean it. Kama huna dhamana sema sina dhamana ninachohitaji ni kuaminiwa tu, habari ya vyeti inaondoa seriousness ya bandiko kiasi flani sababu unaonekana “wale wale”. Hakuna mtu atatoa pesa yake kiholela usawa huu so your case has to be strong.

Unawaza kwenda kumuelewesha mtu baada ya kukaa naye chini ukisahau kuwa kukosa ushawishi kwa post yako kunaweza fanya ukose huyo wa kukaa naye chini.
Sijataka huruma na wala huwezi lazimisha kusaidiwa ila nnachosema kuwa shida ya watu weng ni kudhani kuwa mawazo yetu ndio mawazo ya jamii nzima lakini unasahau kuwa hiyo ni kwa mujibu wako lakini wapo wenye mitazamo tofaut juu ya post yangu hvo si vyema kuonesha jamii kuwa unauelewa zaidi kuliko ila wazo lako ni muhimu kwangu pia na nshukuru hata kwa muda wako kucomment kwenye post yangu means umeguswa ila umejaribu kueleza kwa namna umeona itanisaidia. Asante ndugu
 
VIJANA WANA CHANGAMOTO NYINGI SANA, Wanahangaika tu
Bora huyu anayehangaika na cheti ndio rasrimali pekee alionayo kuweza kumdhamin japo haikidhi vigezo vyote vya Rahani, je wewe unampa ushauri gani ili kufikia lengo lake ?

My point is, asahau habari za cheti. Kama yeye aliyeenda chuo hakikumfaa, hakiwezi kumfaa yeyote mwingine hivyo SI DHAMANA!

Ana advantage ya kuwa mzawa huko kwenye biashara na pia tu uwezo wa kutambua fursa. Aseme if amewahi fanya hiyo biashara, profit margin iko vipi, anahitaji kiasi gani, yeye ana kiasi gani, mtu atakayemsaidia atajihakikishiaje kuwa pesa yake itatumika kwa biashara husika tu? Risk ni zipi?

Namuombea kheri kwenye kutafuta kwake.
 
Nashukuru kwa kuelewa dhima nzima ya post yangu na uhalisia wa mm kama muwakilishi wa vijana weng na ni ukweli usiopingika huo ndio uhalisia na laiti ngekuwa na dhamana yenye uhakika zaidi sidhani kama ngefika huku na pengne ngekuwa tayari nmeanza utekelezaji wa biashara hii
 
Hivi hizo IT wanafundishaje, huko vyuoni,

Mwana IT aliyepitia masomo vizuri akaiva, akimaliza chuo mtaji wake ni computer yake na bando la internet.

Ina maana hii IT umepoteza muda shuleni.

Najua wapo wengi na ile dhana ya kusoma ili mradi tumepata nafasi.

Serikali pia ni dhaifu kuhakikisha elimu yetu ni imara.

Pambana usichoke.
 
My point is, asahau habari za cheti. Kama yeye aliyeenda chuo hakikumfaa, hakiwezi kumfaa yeyote mwingine hivyo SI DHAMANA!

Ana advantage ya kuwa mzawa huko kwenye biashara na pia tu uwezo wa kutambua fursa. Aseme if amewahi fanya hiyo biashara, profit margin iko vipi, anahitaji kiasi gani, yeye ana kiasi gani, mtu atakayemsaidia atajihakikishiaje kuwa pesa yake itatumika kwa biashara husika tu? Risk ni zipi?

Namuombea kheri kwenye kutafuta kwake.
Asante nimekuelewa mkuu.
 
Back
Top Bottom