Mimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na biashara hii kwa muda mrefu sababu nimekulia mazingira ya kijijini.
Lengo langu nipate mtu atakayekuwa tayari kutoa mtaji ili tuweze kufanya biashara hii maana kinachonikwamisha ni mtaji tu!
Nipo tayari kutoa vyeti vyangu kama dhamana ili kujenga uaminifu kwa siku za mwanzo za biashara. Nafikiri mwenye nia njema naomba anipm kwa maelezo zaidi