Hapana nimekuelewa na ndio maana nimekwambia achana na huyo jamaa mana hao watu wapo kwenye jamii zetu hvo hatuwez waepuka sikumaanisha wewe mkuu sabu nmekuelewaLabda hukunielewa hiyo post yangu
"Umeandika kama mtu asiyekuwa na elimu" ilikuwa imemlenga Nani? Rejea tena kucheki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hapo ndio patamu. Sema mnaweza piga mtungo mkajaza gari walau kila mtu awe na gunia zake kadhaa.kila zao lina mtaji wake
kikubwa ni kujaza gari mwenyewe
kila zao lina mtaji wake
kikubwa ni kujaza gari mwenyewe
Wewe si unavua tu then unategesha kesho men anaacha 10k unaona mambo rahisi sasa umemshauri nn apo jaribu kuvaa viatu vyake uone we unasema cheti hakina maana unajua maana ya cheti ww.Wimbi la vijana wa kuomba aidha mkopo au msaada wa kifedha na kusema “naweka vyeti vyangu dhamana” limeongezeka.
Swali langu: Sasa vyeti vyako mtu atavifanyia nini incase ukikiuka makubaliano? Cheti hakina thamani hadi kiwe na mwenye cheti. Tena kwa zama hizi za Magu hakuna hata anayeweza nunua cheti feki.
Kwanza wengi wenu ni wale ambao vyeti wala havina maana kwenu mfano wewe uliyesoma IT hlf unataka kuuza nafaka. Means cheti umegundua hakina issue.
Wewe si unavua tu then unategesha kesho men anaacha 10k unaona mambo rahisi sasa umemshauri nn apo jaribu kuvaa viatu vyake uone we unasema cheti hakina maana unajua maana ya cheti ww.
Sawa taarifa imefika.
Sijui maana ya cheti bwana sijawahi pata cheti maishani mwangu. Kusoma si mnasoma nyie wanaume sisi wanawake msingi kiuno[emoji81][emoji81][emoji81]
Hlf acha kumwachia mkeo 10k, matumizi yamepanda siku hizi
Je unauhakika na soko lenyewe. Pm mchanganuo wa hiyo biasharaMimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na biashara hii kwa muda mrefu sababu nimekulia mazingira ya kijijini.
Lengo langu nipate mtu atakayekuwa tayari kutoa mtaji ili tuweze kufanya biashara hii maana kinachonikwamisha ni mtaji tu!
Nipo tayari kutoa vyeti vyangu kama dhamana ili kujenga uaminifu kwa siku za mwanzo za biashara. Nafikiri mwenye nia njema naomba anipm kwa maelezo zaidi
Sawa.Je unauhakika na soko lenyewe. Pm mchanganuo wa hiyo biashara
Wala hujakosea mkuu, elimu sina natamani ningeipata ila muda umeniacha.
We nenda jukwaa la wakubwa au mahusiano na misosi wapo kuleNatafuta mtu wa kufanya nae mapenzi
Hili pia ni wazo Ila kumbuka wazoefu wanajaza Tandam peke yake..Hahahah hapo ndio patamu. Sema mnaweza piga mtungo mkajaza gari walau kila mtu awe na gunia zake kadhaa.
Uupo sahihi siwezi kukupinga ila raha ya ngoma wanaijua wanaocheza na laiti ungejua Graduate wanachopitia kwa sasa hata wale wenye gpa za first class usingezungumza kwa mihemko hivo lakini kwa swala la thamani ya vyeti uko sahihi sikupingi ila mwenye akili timamu atajua unataka kuonesha uzito tu wa jambo na sio uhakisia kuwa mtu atakupa pesa kwa dhamana ya vyeti ila kama ntapata nafasi ya kuonana na mwenye nia means tunaweza kaa chini tukapanga njia bora ya kuendeleza wazo langu na huku yeye akiwa mshiriki pia.
Swala la jina kamili na simu sioni kama ni tatizo ikiwa hamna mtu atakaekuwa na nia ya kufanya kazi namim bila kunijua kinaga ubaga so kwa walio serious tayari wamenipm na nimewapa scope of work na wamenielewa hivo asante kwa ushauri bro.Mdogo wangu una wazo sahihi na linatekelezeka, lakini jiulize kitu kimoja
Hapa JF pekee jina umeficha na hata simu hutoi, unataka kuaminika mtu akupe pesa yake.
Pia kwa ujumla sidhani kama kuna mtu ana pesa yake ameshindwa kuiendeleza, labda kama kaiiba, vinginevyo alivyoipata ndo njia sahihi kwake na atashikilia hapohapo
Kila la kheriSwala la jina kamili na simu sioni kama ni tatizo ikiwa hamna mtu atakaekuwa na nia ya kufanya kazi namim bila kunijua kinaga ubaga so kwa walio serious tayari wamenipm na nimewapa scope of work na wamenielewa hivo asante kwa ushauri bro. But ujue katika hili wanufaika ni wote na usiishi kwa kukariri kuwa kila walio na hela ambazo zipo zinasubili mawazo chanya na endelevu basi wameiba.... hata mimi nlishawah kuwa na hela lakini sikuona fursa ya kuwekeza mpaka nlipoishia kuzitumia kivingine hvo saivi nmeona fursa lakini pesa changmoto hvo maisha yanabadilika na tunajifunza, pia tunaona mengi ndio mana nakwambia wapo hao watu na hawajaiba hzo pesa ni jasho lao.
We tupige mtungo, tia gunia zako kadhaa na mie kadhaa tukashushe mali mjini.Hili pia ni wazo Ila kumbuka wazoefu wanajaza Tandam peke yake..
Kiasi tunapambana,
Ila kwenye hii biashara Mtaji wa kutosha ndiyo kila kitu.