Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

Sijataka huruma na wala huwezi lazimisha kusaidiwa ila nnachosema kuwa shida ya watu weng ni kudhani kuwa mawazo yetu ndio mawazo ya jamii nzima lakini unasahau kuwa hiyo ni kwa mujibu wako lakini wapo wenye mitazamo tofaut juu ya post yangu hvo si vyema kuonesha jamii kuwa unauelewa zaidi kuliko ila wazo lako ni muhimu kwangu pia na nshukuru hata kwa muda wako kucomment kwenye post yangu means umeguswa ila umejaribu kueleza kwa namna umeona itanisaidia. Asante ndugu

Sasa mkuu, ndio maana tukiweka mawazo jukwaani yanawekewa majina yetu kuonesha kwamba ni yetu binafsi. Wewe usihofu kuwa kwa mimi kusema hivyo utakosa business partner. Kama ipo ipo tu ila nakusaidia kuboresha mawazo yako(endapo itakufaa).

Kuhusu huruma umeitafuta sababu umesema “hujui graduates magumu wanayopitia”. Sasa kwa magumu yenu ndo msikosolewe?

Mungu akubariki mkuu, ufikie ndoto zako!
 
Hivi hizo IT wanafundishaje, huko vyuoni,

Mwana IT aliyepitia masomo vizuri akaiva, akimaliza chuo mtaji wake ni computer yake na bando la internet.

Ina maana hii IT umepoteza muda shuleni.

Najua wapo wengi na ile dhana ya kusoma ili mradi tumepata nafasi.

Serikali pia ni dhaifu kuhakikisha elimu yetu ni imara.

Pambana usichoke.
Upo sahihi kwa upande wako ila samahani nkuongoe na jambo moja kuwa IT ni pana na sio kila IT ni computer tu ila binafsi ukiacha tu cheti na ujuzi nnao na nimeshafanya kazi na baadhi ya kampuni hasa kama fundi lakini kampuni zetu tunazijua na hasa ukifanya kazi kama fundi na sio muajiriwa hivyo pato lake linanifanya najikimu kimaisha lakini sio ziada ya kuweza kufanya biashara hii kwa sasa.

Na aim yangu ni kuja kujiajiri kupitia career yangu ila huku kwenye bishara ndio njia pekee ya kunisaidia kukuza kipato changu kwa haraka ili kufikia malengo yangu nliyojiwekea
 
Sasa mkuu, ndio maana tukiweka mawazo jukwaani yanawekewa majina yetu kuonesha kwamba ni yetu binafsi. Wewe usihofu kuwa kwa mimi kusema hivyo utakosa business partner. Kama ipo ipo tu ila nakusaidia kuboresha mawazo yako(endapo itakufaa).

Kuhusu huruma umeitafuta sababu umesema “hujui graduates magumu wanayopitia”. Sasa kwa magumu yenu ndo msikosolewe?

Mungu akubariki mkuu, ufikie ndoto zako!
Asante mkuu kwa mawazo yako
 
Mtoa mada amewasilisha maoni yake au kero yake na ameweka wazi nia yake ya kutoa vyeti kwa mtu kama dhamana ya mkopo nafikiri.

1. Yupo Dar/Ruvuma ushauri wangu atafute fursa pale alipo kwa kutengeneza kwanza network ya marafiki kubiashara.

2. Hakuna mtu atakaye kuwa na huo moyo wa kuchukua vyeti akupe pesa kama wapo ni wachache hiyo plan aipige chini. Nashauri badala ya vyeti ni bora angekaa na watu wanaofanya biashara anayoitazamia ajifunze kuongea na kupata bidhaa kwa mali kauli.

3. Mtoa mada hakuweka mpango wa nini anataka kufanya, wapi, mtaji unaohitajika, anuani nk pengine kuna mtu au watu wana mitaji ila hawana watu wa kufanya nao kazi.Ajipambanue vizuri tujue.

4. Uzoefu wa kazi naona kwake hana na kama anao ni wa kifikra au mdogo.Ajaribu tena kufanya study za biashara pamoja na risk zake.
5. Nampongeza kwa kujali na kuwaza biashara apambane atafanikiwa.
 
Mkuu pole kwa nyakati ngumu unazopitia pia hakuna asiyepitia nyakati ngumu kwenye maisha.Ni vizuri ungejipambanua jinsi ulivyokuwa unafanya hiyo biashara na kuiendesha .ukipewa mtaji utazungushaje mtaji wa MTU usipotee.

kwanini unataka mtaji ni kwa sababu umekosa ajira au fursa uliyoiona.
 
Nashukuru kwa kuelewa dhima nzima ya post yangu na uhalisia wa mm kama muwakilishi wa vijana weng na ni ukweli usiopingika huo ndio uhalisia na laiti ngekuwa na dhamana yenye uhakika zaidi sidhani kama ngefika huku na pengne ngekuwa tayari nmeanza utekelezaji wa biashara hii
Nakushauri uanze mdogo mdogo akilenga pakubwa, na usikidharau chako hicho kdg hao wadhamini watakukuta njiani kama watapatikana iwapo wakikosekana basi na hakika utaenda.

Mm binafsi nilianza na wazo km lako nikaenda kwa wadau tena wa karibu sana na walikuwa na uwezo mkubwa nikiwa na imani kubwa (Bahati nzuri) niliemtegemea 100% akanikejeri na dharau nyingi sana nilifadhaika sana nilitamani bora hata kuondoka dunian mwisho wa siku baada ya kukosa usingizi siku kadhaa maamuzi yalitoka hivi

"KULIKO KUJIUA NDANI BORA NIFIE NJIANI NIKITAFUTA HICHO NACHOKITAFUTA" "Naomba wanicheke na kunidharau kwa maana watanipa BARAKA"

HAKIKA haikupita muda mrefu nilifanikiwa zaidi na zaidi 10x ya ule mtaji, Mungu yupo na wewe USIOGOPE CHOCHOTE PAMBANA UTAFAULU
 
Mtoa mada amewasilisha maoni yake au kero yake na ameweka wazi nia yake ya kutoa vyeti kwa mtu kama dhamana ya mkopo nafikiri.
1. Yupo Dar/Ruvuma ushauri wangu atafute fursa pale alipo kwa kutengeneza kwanza network ya marafiki kubiashara.
2. Hakuna mtu atakaye kuwa na huo moyo wa kuchukua vyeti akupe pesa kama wapo ni wachache hiyo plan aipige chini. Nashauri badala ya vyeti ni bora angekaa na watu wanaofanya biashara anayoitazamia ajifunze kuongea na kupata bidhaa kwa mali kauli.
3. Mtoa mada hakuweka mpango wa nini anataka kufanya, wapi, mtaji unaohitajika, anuani nk pengine kuna mtu au watu wana mitaji ila hawana watu wa kufanya nao kazi.Ajipambanue vizuri tujue.
4. Uzoefu wa kazi naona kwake hana na kama anao ni wa kifikra au mdogo.Ajaribu tena kufanya study za biashara pamoja na risk zake.
5. Nampongeza kwa kujali na kuwaza biashara apambane atafanikiwa.
Umeeleza vizuri sana ila nafikiri wengi bado hamjanielewa na wengine wamekuwa wakijifanya hawanielewi ila uhalisia ni kwamba mwenye nia ya dhati ashindwi kuja pm na kutaka mchanganua mzuri zaidi lakini nimeona post nying kadiri unavozidi kuelezea kwa upana wazo lako ndivyo wakatishaji tamaa na wenye mawazo ya kupotosha wenye nia yanavyokuwa meng na kikubwa sio wote wanania nzuri humu hvo kama ukija pm nafikiri utaelewa vizuri malengo yangu. Na sijataka pesa ila nmetaka uje na pesa zako tufanye biashara nikiwa kama ofisi yako nawewe boss wangu na tu akuwa pamoja kwenyw kila kitu
 
Mkuu pole kwa nyakati ngumu unazopitia pia hakuna asiyepitia nyakati ngumu kwenye maisha.Ni vizuri ungejipambanua jinsi ulivyokuwa unafanya hiyo biashara na kuiendesha .ukipewa mtaji utazungushaje mtaji wa MTU usipotee.

kwanini unataka mtaji ni kwa sababu umekosa ajira au fursa uliyoiona.
Haika kuendelea kusubiri ajira ni kuzidi kutengeneza bomu la kujikatia tamaa ya maisha mapema wakat naweza pitia huku kuja kuwekeza kwenye career yangu kwa badae sabu fani yangu inaniruhusu kufanya hvo na ujuzi nnao wa kutosha ukiacha vyeti tu na elimu ya nadaharia inayotelewa hapa nchini
 
Nakushauri uanze mdogo mdogo akilenga pakubwa, na usikidharau chako hicho kdg hao wadhamini watakukuta njiani kama watapatikana iwapo wakikosekana basi na hakika utaenda.

Mm binafsi nilianza na wazo km lako nikaenda kwa wadau tena wa karibu sana na walikuwa na uwezo mkubwa nikiwa na imani kubwa (Bahati nzuri) niliemtegemea 100% akanikejeri na dharau nyingi sana nilifadhaika sana nilitamani bora hata kuondoka dunian mwisho wa siku baada ya kukosa usingizi siku kadhaa maamuzi yalitoka hivi "KULIKO KUJIUA NDANI BORA NIFIE NJIANI NIKITAFUTA HICHO NACHOKITAFUTA" "Naomba wanicheke na kunidharau kwa maana watanipa BARAKA" HAKIKA haikupita muda mrefu nilifanikiwa zaidi na zaidi 10x ya ule mtaji, Mungu yupo na wewe USIOGOPE CHOCHOTE PAMBANA UTAFAULU
Asante sana. Maneno yako tu yanaweza kuwa mtaji tosha sio kwangu tu bali hata kwa vijana wengine wenye nyakati kama yangu kwa sasa! Kikubwa uzima nna imani ntafanikiwa
 
Nina nia kubwa sana ya kuingia katika hio biashara ya mazao sema natafuta mtu mzoefu. I think of it as a business that can change my life rapidly. Nikifika Dsm ntamtafuta mtoa mada.
Karibu na asante kwa kufikiri juu ya wazo langu nafikiri usisite kufanya hivyo mana hata kama hautakuwa tayari kufanya kazi namm ila nipo tayari kukupa scope nzima
 
Mkuu pole kwa nyakati ngumu unazopitia pia hakuna asiyepitia nyakati ngumu kwenye maisha.Ni vizuri ungejipambanua jinsi ulivyokuwa unafanya hiyo biashara na kuiendesha .ukipewa mtaji utazungushaje mtaji wa MTU usipotee.

kwanini unataka mtaji ni kwa sababu umekosa ajira au fursa uliyoiona.
Nafikiri mwenye nia ya kufahamu kwa undani iwe kwa yeye binafsi au kama atakuwa tayari kushirikiana nami nipo tayari kumueleza kinaga ubaga na atanielewa nafikiri
 
Mimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na biashara hii kwa muda mrefu sababu nimekulia mazingira ya kijijini.

Lengo langu nipate mtu atakayekuwa tayari kutoa mtaji ili tuweze kufanya biashara hii maana kinachonikwamisha ni mtaji tu!

Nipo tayari kutoa vyeti vyangu kama dhamana ili kujenga uaminifu kwa siku za mwanzo za biashara. Nafikiri mwenye nia njema naomba anipm kwa maelezo zaidi
Je unahis hauko vizur kwe sekta uliyosomea adi unaamua kuiweka rehani...?

Kama una hakika uko vizur kitaaluma nitafute, uko tayar kujitolea kwa muda. Nitafute
 
Haika kuendelea kusubiri ajira ni kuzidi kutengeneza bomu la kujikatia tamaa ya maisha mapema wakat naweza pitia huku kuja kuwekeza kwenye career yangu kwa badae sabu fani yangu inaniruhusu kufanya hvo na ujuzi nnao wa kutosha ukiacha vyeti tu na elimu ya nadaharia inayotelewa hapa nchini
LAkini pia hii fursa nimeiona kwa muda mrefu lakini nimekuwa nikiifanya kwa kiasi lakini safari hii ninelileta humu ili kupata mshiriki ambae atakuwa tayari kushirikiana nami kuifanya biashara hii kwa ukubwa zaidi lakini watu wanadhani sijawah ifanya kabisa la hasha nineianza kwa misimu miwili sasa lakini safair hii nimehitaji mshiriki ili nisiendelee kuifanya kama mazoea bali iwe na tija yakinifu kwenye maisha yangu
 
Karibu na asante kwa kufikiri juu ya wazo langu nafikiri usisite kufanya hivyo mana hata kama hautakuwa tayari kufanya kazi namm ila nipo tayari kukupa scope nzima
Nikishaielewa nataka kuifanya Conglomerate kabisa hapo mjini. Itanirahisishia kuandaa Management structure. Ntakutafuta, si upo Dsm?

Mi pia nina IT skills vyeti safi ila nataka nitengeneze hela upesi.
 
Mtoa mada amewasilisha maoni yake au kero yake na ameweka wazi nia yake ya kutoa vyeti kwa mtu kama dhamana ya mkopo nafikiri.
1. Yupo Dar/Ruvuma ushauri wangu atafute fursa pale alipo kwa kutengeneza kwanza network ya marafiki kubiashara.
2. Hakuna mtu atakaye kuwa na huo moyo wa kuchukua vyeti akupe pesa kama wapo ni wachache hiyo plan aipige chini. Nashauri badala ya vyeti ni bora angekaa na watu wanaofanya biashara anayoitazamia ajifunze kuongea na kupata bidhaa kwa mali kauli.
3. Mtoa mada hakuweka mpango wa nini anataka kufanya, wapi, mtaji unaohitajika, anuani nk pengine kuna mtu au watu wana mitaji ila hawana watu wa kufanya nao kazi.Ajipambanue vizuri tujue.
4. Uzoefu wa kazi naona kwake hana na kama anao ni wa kifikra au mdogo.Ajaribu tena kufanya study za biashara pamoja na risk zake.
5. Nampongeza kwa kujali na kuwaza biashara apambane atafanikiwa.
Hapo kwenye Mali kauli Siku hizi wakulima hawafanyi Hiyo kitu

Kuna wanunuzi wa kutosha wenye cash/or walishatoa cash kipindi cha kulima

Wakulima wana madalali/wananunuzi mjini ni kuinua simu tu na kutuma mzigo.

Swala La kufanya biashara ya mazao bila cash ni Gumu kidogo.

mtoa mada naweza kumshauri akawa nyoka..

yeye anatafuta machimbo kisha mwenyewe pesa yake anakwenda kufunga mzigo kirahisi,kwa makubaliano ya kiasi fulani
 
Je unahis hauko vizur kwe sekta uliyosomea adi unaamua kuiweka rehani...?

Kama una hakika uko vizur kitaaluma nitafute, uko tayar kujitolea kwa muda. Nitafute
Sina maana hiyo ila naweza fanya hivyo mkuu sababu naamini katika kile nilichonacho.
 
A bitter truth.
Wimbi la vijana wa kuomba aidha mkopo au msaada wa kifedha na kusema “naweka vyeti vyangu dhamana” limeongezeka.

Swali langu: Sasa vyeti vyako mtu atavifanyia nini incase ukikiuka makubaliano? Cheti hakina thamani hadi kiwe na mwenye cheti. Tena kwa zama hizi za Magu hakuna hata anayeweza nunua cheti feki.

Kwanza wengi wenu ni wale ambao vyeti wala havina maana kwenu mfano wewe uliyesoma IT hlf unataka kuuza nafaka. Means cheti umegundua hakina issue.
 
Hapo kwenye Mali kauli Siku hizi wakulima hawafanyi Hiyo kitu

Kuna wanunuzi wa kutosha wenye cash/or walishatoa cash kipindi cha kulima

Wakulima wana madalali/wananunuzi mjini ni kuinua simu tu na kutuma mzigo.

Swala La kufanya biashara ya mazao bila cash ni Gumu kidogo.

mtoa mada naweza kumshauri akawa nyoka..

yeye anatafuta machimbo kisha mwenyewe pesa yake anakwenda kufunga mzigo kirahisi,kwa makubaliano ya kiasi fulani
Nafikiri ni miongoni mwa watu walionielewa zaidi na hilo ndio lengo langu kubwa.
 
Nikishaielewa nataka kuifanya Conglomerate kabisa hapo mjini. Itanirahisishia kuandaa Management structure. Ntakutafuta, si upo Dsm?

Mi pia nina IT skills vyeti safi ila nataka nitengeneze hela upesi.
Ok sawa
 
Back
Top Bottom