Natafuta mtu wa kunifundisha graphic design

Natafuta mtu wa kunifundisha graphic design

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Natafuta Mwalimu wa Graphic Design

🔹 Sifa: Awe mhitimu wa chuo
🔹 Mshahara: Makubaliano
🔹 Mahali: Nyumbani kwangu (Dar es Salaam)
🔹 Ratiba: Kila Jumapili, kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku
🔹 Marupurupu: Laptop, simu (kiswaswadu)
🔹 Muda wa Kozi: Makubaliano

📍 Awe mkazi wa Dar es Salaam

Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali nitumie PM
 
Saa 4 asubui hadi saa 4usiku .
 
Back
Top Bottom