Natafuta mtu wa kushirikiana naye mradi wa kilimo

Natafuta mtu wa kushirikiana naye mradi wa kilimo

DGT Africa

New Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
4
Reaction score
3
Habari ya sasa hivi

Nina project ya Agriculture inajihusisha na wakulima wadogo, natafuta mtu ambaye tunaweza kufanya naye (partner)

Document zote zipo vigezo financial free pia awe na interest na kilimo

Mawasiliano 0757279834
0657888494 whatsap

dgtafrica@gmail.com
 
Mkoa gani? Na wilaya gani? Na mtaji kiasi gani?
 
Habari ya sasa hivi

Nina project ya Agriculture inajihusisha na wakulima wadogo, natafuta mtu ambaye tunaweza kufanya naye (partner)

Document zote zipo vigezo financial free pia awe na interest na kilimo

Mawasiliano 0757279834
0657888494 whatsap

dgtafrica@gmail.com
Fafanua details muhimu zote ili muhitaji aje akiwa anajua ABC
 
Kilimo GANI
Mkoa GANI
Partner awe na vigezo GANI
Mashamba ya nani
Mazao mtagawana vipi
We utachangia nn
Partner majukumu yake yapi?
 
Back
Top Bottom