Natafuta mtu wa kusogeza naye siku

Huwa siamini sana yanayoandikwa humu kwamba binti 24yrs anaweweseka kutafuta mchumba mitandaoni hali ya kuwa kuna wenye wako 32 wanaolewa bila kujitongozesha.nyie wanawake gundu mnajitia wenyewe we bado mdogo kinachokuhangaisha ninini kwani unakimbilia wapi?
 
Hizo siku mtazisogeza mpaka wapi?
 
Asanteeeee.. nakuja
 
Ok naona maswali PM yanakua mengi kuhusu kusogeza siku namaanisha nini yani inshort utakuwa huru kuwa na mtu wako nami nitakuwa huru kuwa na wangu nikimpata nimpendae so hii relation itakuwa just friend cause nikipata nitayemridhia itavunjika
.So nahitaji tu mtu wa kunicare na pia kuhusu swala la sex jua kabisa hatutasex mpaka tutaporudia vipimo vya mara ya pili ili kulinda usalama wangu.
 
Sogeza siku na TV madam.

Mtoto wa miaka 24 mwenye degree uje utafute mwanaume Mtandaoni?

Wako wapi ulosoma nao chuo?

Mtaani kwenu hakuna wanaume? (Au dharau na makidai yako yamefanya hawakutaki tena unajistukia)

Ofisini kwenu hakuna mabachela? (Au hauna kazi yeyote ndio unatafuta msaada huku wa kulipiwa pango na saloon)
 

Aiseeeee
 
Hujakosea hata tone ila inshort mtaani kwetu hawanitaki cause na sura ngumu halafu pia natafuta hela ya saloon.
 
Je we unajishughulisha na nini? Pili msambwanda unao au ndo flat screen halafu full masharti
 
Nimefeli kwenye umri tu.

Je na wewe utaanza kuomba pesa baada ya vipimo vya mara ya pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…