Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteeeee.. nakujaKama kichwa kilivyojieleza nahitaji mtu wa kusogeza naye siku kama tutaridhiana tunaweza kuamua kudumu na kufata taratibu zingine.
Sifa za nimtakae
Kubwa katika yote awe tayari kucheck HIV na tutacheck tena after 3 month ili kuhakikisha usalama wetu halafu mengineyo yatafata
Asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara wala mpenda starehe kama kwenda sehemu za club.
Dini- Mkristu
Age- 28-32
Rangi- Maji ya kunde
Elimu awe na diploma au degree itapendeza zaidi.
Kazi- Kaajiriwa/Kajiajiri
Sifa zangu
Mkristu,umri 24,elimu degree rangi mweusi ,mrefu ,uzuri wa sura na umbo nipo kawaida sana.
Kunifahamu zaidi njoo pm.
Ok naona maswali PM yanakua mengi kuhusu kusogeza siku namaanisha nini yani inshort utakuwa huru kuwa na mtu wako nami nitakuwa huru kuwa na wangu nikimpata nimpendae so hii relation itakuwa just friend cause nikipata nitayemridhia itavunjika
.So nahitaji tu mtu wa kunicare na pia kuhusu swala la sex jua kabisa hatutasex mpaka tutaporudia vipimo vya mara ya pili ili kulinda usalama wangu.
Asante kwa kuniwahiChura ipo?
Hujakosea hata tone ila inshort mtaani kwetu hawanitaki cause na sura ngumu halafu pia natafuta hela ya saloon.Sogeza siku na TV madam.
Mtoto wa miaka 24 mwenye degree uje utafute mwanaume Mtandaoni?
Wako wapi ulosoma nao chuo?
Mtaani kwenu hakuna wanaume? (Au dharau na makidai yako yamefanya hawakutaki tena unajistukia)
Ofisini kwenu hakuna mabachela? (Au hauna kazi yeyote ndio unatafuta msaada huku wa kulipiwa pango na saloon)