Natafuta mtu wa kusogeza naye siku

Hujakosea hata tone ila inshort mtaani kwetu hawanitaki cause na sura ngumu halafu pia natafuta hela ya saloon.
Kwani yule uliyempata kwenye thread yako ya kutafuta mme kaishia wapi? Samahani lkn
 
Isije kuwa anatafuta kitonga afu full masharti
Masharti yako wapi hapo mbona marahisi mno cause kama unakunywa pombe naamini kuna wanawake wanapenda pombe ila kwangu mimi no.Au kupima ukimwi ni sharti mi naona hicho ni kitu cha lazima cause ukimwi sasa umezagaa mno au unataka nijikaange tu hata kama mtu mwathirika ikitokea nimepata maambukizo utanisaidia kunywa dozi?
 
Upuuzi mtupu.

JamiiForums Moderator hizi thread za hivi ni za kufuta. Kuna watu wapo serious wanatafuta wachumba/wake/waume hawapati kisa upuuzi upuuzi tu.
 
Sasa kusogeza siku na dini kuna uhusiano gani?
 
Chura haina shida miguu je maana watu wanasema gari n rim ndiyo muonekano wa gari
 
Mkuu, hao aliosoma nao hawamo mitandaoni? Hao wa mtaani je nao hawapo mitandaoni? Nadhani hii ni sehemu tu kama sehemu zingine, mitaani, kanisani, barabarani n.k
 
wakusogeza siku bado unataka na umri, na kazi na elimu lol,
wewe ungesema natafuta mwanaume mashine mwenye akili timamu baasi.

ndio mnaojilengesha mimba ndiii ndoa zisizo na matarajio baadae vilio msitafute wachumba Jf. kwi kwi kwi.
 
Heeeeeh!!! nasikia OHIO business ime drop sana.... ila sio mbaya, very creative.

[emoji485] [emoji489]
Happy Independence Day.
 
wakusogeza siku bado unataka na umri, na kazi na elimu lol,
wewe ungesema natafuta mwanaume mashine mwenye akili timamu baasi.

ndio mnaojilengesha mimba ndiii ndoa zisizo na matarajio baadae vilio msitafute wachumba Jf. kwi kwi kwi.
Huwa nakuelewa.. keep it up.

I'm in love with you. Baadae ndiyo wa kuja kulalamika ooh Jf watu wahuni usitafute mwanaume/mwanamke humu. Ni upuuzi.
Kweli kabisa Bro,
upuuzi kiwango cha fly over.... lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…