ndukulusudicho
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 501
- 768
Isije kuwa anatafuta kitonga afu full mashartiMbn hujasem kam una ajira ? Bt unataka mwanaume mwenye ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isije kuwa anatafuta kitonga afu full mashartiMbn hujasem kam una ajira ? Bt unataka mwanaume mwenye ajira
Mhh! Ngoja waje wazee wa flatSina kazi nasubiri kuhudumiwa na kuhusu chura namshukuru maanani kwa kuniumba flat screen.
Lazima umri uwe huo?Sina shida ya kukuomba hela cha muhimu afya kwanza.
Kwani yule uliyempata kwenye thread yako ya kutafuta mme kaishia wapi? Samahani lknHujakosea hata tone ila inshort mtaani kwetu hawanitaki cause na sura ngumu halafu pia natafuta hela ya saloon.
Masharti yako wapi hapo mbona marahisi mno cause kama unakunywa pombe naamini kuna wanawake wanapenda pombe ila kwangu mimi no.Au kupima ukimwi ni sharti mi naona hicho ni kitu cha lazima cause ukimwi sasa umezagaa mno au unataka nijikaange tu hata kama mtu mwathirika ikitokea nimepata maambukizo utanisaidia kunywa dozi?Isije kuwa anatafuta kitonga afu full masharti
Upuuzi mtupu.Ok naona maswali PM yanakua mengi kuhusu kusogeza siku namaanisha nini yani inshort utakuwa huru kuwa na mtu wako nami nitakuwa huru kuwa na wangu nikimpata nimpendae so hii relation itakuwa just friend cause nikipata nitayemridhia itavunjika
.So nahitaji tu mtu wa kunicare na pia kuhusu swala la sex jua kabisa hatutasex mpaka tutaporudia vipimo vya mara ya pili ili kulinda usalama wangu.
Mkuu, hao aliosoma nao hawamo mitandaoni? Hao wa mtaani je nao hawapo mitandaoni? Nadhani hii ni sehemu tu kama sehemu zingine, mitaani, kanisani, barabarani n.kSogeza siku na TV madam.
Mtoto wa miaka 24 mwenye degree uje utafute mwanaume Mtandaoni?
Wako wapi ulosoma nao chuo?
Mtaani kwenu hakuna wanaume? (Au dharau na makidai yako yamefanya hawakutaki tena unajistukia)
Ofisini kwenu hakuna mabachela? (Au hauna kazi yeyote ndio unatafuta msaada huku wa kulipiwa pango na saloon)
Heeeeeh!!! nasikia OHIO business ime drop sana.... ila sio mbaya, very creative.Ok naona maswali PM yanakua mengi kuhusu kusogeza siku namaanisha nini yani inshort utakuwa huru kuwa na mtu wako nami nitakuwa huru kuwa na wangu nikimpata nimpendae so hii relation itakuwa just friend cause nikipata nitayemridhia itavunjika
.So nahitaji tu mtu wa kunicare na pia kuhusu swala la sex jua kabisa hatutasex mpaka tutaporudia vipimo vya mara ya pili ili kulinda usalama wangu.
Kweli kabisa Bro,Upuuzi mtupu.
JamiiForums Moderator hizi thread za hivi ni za kufuta. Kuna watu wapo serious wanatafuta wachumba/wake/waume hawapati kisa upuuzi upuuzi tu.
Huwa nakuelewa.. keep it up.wakusogeza siku bado unataka na umri, na kazi na elimu lol,
wewe ungesema natafuta mwanaume mashine mwenye akili timamu baasi.
ndio mnaojilengesha mimba ndiii ndoa zisizo na matarajio baadae vilio msitafute wachumba Jf. kwi kwi kwi.
Kweli kabisa Bro,
upuuzi kiwango cha fly over.... lol.
Kweli kabisa Bro,
upuuzi kiwango cha fly over.... lol.