Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Na mimi natafuta mchuchu ambaye ni shabiki wa Simba Sc. Tukutane Simba Day hapo Daslamu
 

....mbona kama nastahili..mi Nina kipato kizur Nina miaka 39..napenda maendeleo...sio mlevi...japo mara chache natumia kiasi...mkristo...Nina watoto wanne...wa3 naishi nao na mmoja Huwa anakuja likizo...baby mama wangu mkorofi hivyo tegemea Kashi Kashi za hapa na pale...naishi na dada zangu watatu ni sehem ya familia...nipo Dodoma...vitu vingine tutazungukza PM...ila nafurahi sana kukutana na wewe Mzee mwenzangu.....njoo tuchanganye watoto na tuongeze japo wawili kuwaunganisha Hawa watoto wetu...njoo tumalizie maisha mama...WANAKUITA MAMA NANI VILE....
 
Vigezo vyote ninavyo ila nimeoa.
 
Kila la kheri Winner.
 
Nakushauri hapo kwenye miaka iwe 37-50.
 
Miaka 36, single Maza na huenda unali mwili hiloo. Nehiiiiiiiii kwakweli nehiiiii.
 
Winner usikatishwe tamaa na wachache wanaokukejeli naamini mungu atakupa hitaji la moyo wako
 
Sasa dada kuwa mpole huu mwandiko wa kutafuta mume spidi spidi kwani ukitulia itakuwaje. 36 kaa kwa kutulia wewe sio binti tena ni mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…