Amen,nimeokoka nampenda Yesu.. invite me to your church this Sunday [emoji4]Mungu akusaidie, kumbuka pia kuwa umkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kuna maisha hapa duniani ila kuna maisha pia huko, where are you going to spend your eternity? Okoka ili maisha yako ya hapa duniani yawe na uhakika na ya mbinguni pia ukaende uzima wa milele kuliko kuishi vyovyote hapa na ukifa au siku ya mwisho ukaenda moto wa milele. Ubarikiwe.
Tuje wapi kuna hafali umeandaaa uko
Umetuandalia nini bibie.
Kwaio una UKIMWIMimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.
Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.
Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.
Karibu PM.
PichaMimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.
Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.
Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.
Karibu PM.
HIV positive kunafrsa kipande system huku jfKwaio una UKIMWI
Toa location lkn Mimi Sina kwa kile ulichotoa katka Uzi uliopita Tayana asione tafadhari😄
Haya location ipo pm[emoji23][emoji23] Tayana ndo naaanToa location lkn Mimi Sina kwa kile ulichotoa katka Uzi uliopita Tayana asione tafadhari[emoji1]
Cocastic ni mgumu kama kokoto za miamba ya bahariUtampata tu and life must still goes on
Unajiamini. Nakuja pM tuyajenge