Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

Mungu akusaidie, kumbuka pia kuwa umkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kuna maisha hapa duniani ila kuna maisha pia huko, where are you going to spend your eternity? Okoka ili maisha yako ya hapa duniani yawe na uhakika na ya mbinguni pia ukaende uzima wa milele kuliko kuishi vyovyote hapa na ukifa au siku ya mwisho ukaenda moto wa milele. Ubarikiwe.
Amen,nimeokoka nampenda Yesu.. invite me to your church this Sunday [emoji4]
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
Picha
 
Back
Top Bottom