BabyMamy
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 315
- 511
- Thread starter
- #241
Amen,nimeokoka nampenda Yesu.. invite me to your church this Sunday [emoji4]Mungu akusaidie, kumbuka pia kuwa umkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kuna maisha hapa duniani ila kuna maisha pia huko, where are you going to spend your eternity? Okoka ili maisha yako ya hapa duniani yawe na uhakika na ya mbinguni pia ukaende uzima wa milele kuliko kuishi vyovyote hapa na ukifa au siku ya mwisho ukaenda moto wa milele. Ubarikiwe.