Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

Hongera sister, wote tungekuwa hivi wala transmission isingekuwa kwa kiwango kikubwa sana.

Utapata hata -ve sio lazima awe +ve, kila la heri.
Asante sana ERoni[emoji4]
 
Ukiwa HIV + ukazingatia dawa ukimwi utausikia tu kwenye radio. Hongera kwa kuwa muwazi, Ila ninakushauri upate nae anaezingatia dawa.
 
Kila la kheri na Mungu akutangulie katika haja ya moyo wako.

Siku nitakayopata ujasiri wa kupima labda ndio siku nitakapokuwa nimeshakupoteza....

Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki huku nikibebwa na greda la Manispaa ya Kinondoni.....
Mimi ni wewe 💯 Sina huo ujasiri
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV POSITIVE kama Mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
Upweke noma unahitaji kidume ndani ya nyumba bwana
 
Back
Top Bottom