Natafuta mume bora kutoka JamiiForums



Mume (tick) Bora? Sio jamii forums
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikutegemea hili jibu
Sio kila biashara inahitajika pesa..
Achangamke tu...
Kuna wadada wanapita madukani wanauliza bei za bidhaa na Ku post watsap Tu wanaweka cha juu chao baasi......wanajikwamua...
Wengine wanaandika "Na mikoani tunatuma" kumbe Hana hata bidhaa moja ...ukiwatumia hela ndo anaenda nunua..
Mjini hapa 😅
 
[emoji1787][emoji1787] biashara ya namna hiyo inataka mtu mjanja mjanja...mwizi-mwizi fulani hivi bila hivyo hutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…