Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

Ningekuwa Mimi kabisa ila Nina Mke.

Kilala kheri
 
Aende kwa Mwamposa😅😅🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Jasuma

Jipatie Mke.
 
Karibu
 
Hapo nina sifa zote kasoro iyo ya kusali. Utaweza nifundisha?
 
Mimi mwenye 38 nimepoteza sifa
 
Nakusihi usichague akina harmonise( wamakonde) hawamalizi kisasi Chao............utasimangwa mpaka ukonde na uwe mweusi kuzidi Black
 
Mmeshaelewa kwanini huwa wanataka umri wa mwanaume uwe mkubwa zaidi ya mwanamke? Tuinieni machache ya msingi hii ya kusema akikuzidi anakuwa anajielewa au kaacha utoto siiafiki .mtoa post nakutakia kilala kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…