Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwanini mnapenda kututega jamani????Ili mradi awe anajitambua tu inatosha
Mnafungua id mpya kutuchora ilhali hamna nia ya kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mnapenda kututega jamani????Ili mradi awe anajitambua tu inatosha
Acha ujinga.waachie wenzako fursa!Hujawahi kuzaa/kushusha injini?
Na kule board unadaiwa sh ngapi!?Acha ujinga.waachie wenzako fursa!
[HASHTAG]#FACT[/HASHTAG]Wanawake bwana wanajijua wenyewe tu; kuna mmoja nilikutana nae hapa Dar ana 30 mwaka huu.
Kuolewa anataka sana lakini kuhandle mume zero, not caring, akipiga simu usipopokea ujipange vizuri kujibu.
Kwahiyo nikagundua huyu huwa wanampiga chini kwasababu ya huruka yake ya kibabe na inaelekea hata hajielewi.
Ushauri ukitaka mume soma hata majarida on how to be the best women kama wewe akili yako huwa inamafaili mengi kuzidi kichwa chako.
Kwa taarifa yenu hakuna mwanaume anapenda kupelekwa pelekwa hata siku moja. Be kind and focused utafanikiwa. Acha kuendekeza vizinga hata kama unashida ili mwanaume ajue kuwa kweli huyu ni mtu na malengo yake. Hakika nakwambia usipopiga mziga utakula hela za mwanaume mpaka ukimbie kama unabehave.
All the best katika kusaka ndoa.
Una uhakika nadaiwa body?!acha mawazo ya kijinga.jieshimu dogo.Na kule board unadaiwa sh ngapi!?
Nauliza tu dogo mbona unakuwa mkali!!? Maana umetangaza unataka mume sasa kabla sijaja inbox i have to make sureUna uhakika nadaiwa body?!acha mawazo ya kijinga.jieshimu dogo.
Tulia na ujipatilize.Nauliza tu dogo mbona unakuwa mkali!!? Maana umetangaza unataka mume sasa kabla sijaja inbox i have to make sure
Jibu maswali usijekosa mumeTulia na ujipatilize.
Kula big LIKE mkuuWanawake bwana wanajijua wenyewe tu; kuna mmoja nilikutana nae hapa Dar ana 30 mwaka huu.
Kuolewa anataka sana lakini kuhandle mume zero, not caring, akipiga simu usipopokea ujipange vizuri kujibu.
Kwahiyo nikagundua huyu huwa wanampiga chini kwasababu ya huruka yake ya kibabe na inaelekea hata hajielewi.
Ushauri ukitaka mume soma hata majarida on how to be the best women kama wewe akili yako huwa inamafaili mengi kuzidi kichwa chako.
Kwa taarifa yenu hakuna mwanaume anapenda kupelekwa pelekwa hata siku moja. Be kind and focused utafanikiwa. Acha kuendekeza vizinga hata kama unashida ili mwanaume ajue kuwa kweli huyu ni mtu na malengo yake. Hakika nakwambia usipopiga mziga utakula hela za mwanaume mpaka ukimbie kama unabehave.
All the best katika kusaka ndoa.
Na wewe unatafuta?Watajitokeza tu wengi.
wengine unipunguzie mimi
Kwa ajili yako nipiWatajitokeza tu wengi.
wengine unipunguzie mimi
unaweza kuja inboxNimechoka na upweke
Natafuta mwanaume aliye serious kbs kujenga maisha
Mrefu
Awe anajishughulisha na kazi yyte halali
Asiwe muhaya
Elimu kuanzia la saba
Mimi ni mwnadad nna degree moja
Naishi dar
Najielewa na natambua majukumu yngu
Umri 30
Kama yupo yyte Naomba aje inbox
Umri kwangu ni janga la taifaNimechoka na upweke