Natafuta mume kuanzia 33-45

Natafuta mume kuanzia 33-45

Unachekesha kweli wewe dada.Unakataa wanaume wa Kihaya unaenda kuolewa na wanaume wa Kikurya?(utani).Kila la kheri
 
Wanawake bwana wanajijua wenyewe tu; kuna mmoja nilikutana nae hapa Dar ana 30 mwaka huu.

Kuolewa anataka sana lakini kuhandle mume zero, not caring, akipiga simu usipopokea ujipange vizuri kujibu.

Kwahiyo nikagundua huyu huwa wanampiga chini kwasababu ya huruka yake ya kibabe na inaelekea hata hajielewi.

Ushauri ukitaka mume soma hata majarida on how to be the best women kama wewe akili yako huwa inamafaili mengi kuzidi kichwa chako.

Kwa taarifa yenu hakuna mwanaume anapenda kupelekwa pelekwa hata siku moja. Be kind and focused utafanikiwa. Acha kuendekeza vizinga hata kama unashida ili mwanaume ajue kuwa kweli huyu ni mtu na malengo yake. Hakika nakwambia usipopiga mziga utakula hela za mwanaume mpaka ukimbie kama unabehave.

All the best katika kusaka ndoa.
 
[HASHTAG]#FACT[/HASHTAG]
 
Kula big LIKE mkuu
 
Una tabia mbaya sana yani unakataa kabila muhimu nchi hii!! Na ukose mume maisha yako yote
 
Nimechoka na upweke
Natafuta mwanaume aliye serious kbs kujenga maisha
Mrefu
Awe anajishughulisha na kazi yyte halali
Asiwe muhaya
Elimu kuanzia la saba

Mimi ni mwnadad nna degree moja
Naishi dar
Najielewa na natambua majukumu yngu
Umri 30
Kama yupo yyte Naomba aje inbox
unaweza kuja inbox
 
Umri kwangu ni janga la taifa
 
Hivi hujapata bado, basi pm
 
Back
Top Bottom