mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 737
- 1,002
Hivi hiii ni kweli? Na ikiwa baba mtoto alishaoa mke mwingine atahangaika tena na aliyemuacha?Baba wa mtoto wako akisikia tu umeolewa, atakuja kukuweka kimada upya. Watu irresponsible ndivyo walivyo, mwanamke akiwa free hawana hamu nae, akiolewa ghafla anakua mzuri.