Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka chukua jiko ilo.Mungu akufanyie wepesi mpendwa.
Kaka soma vizuri andiko anataka aliye serious nami siko serious...Kaka chukua jiko ilo.
Nyie mnaoanza kiutani utani, ndio mnakimbiaga watoto.Kaka soma vizuri andiko anataka aliye serious nami siko serious...
Mapenzi yanachanua yenyewe, tuanze hivi hivi kiutani utani, userious utakuja automatikali.
Kama yupo tayari tuanze kiutani utani mie sina shida.
😂🤣
220 km/h halafu chuma ikavamie mnazi, hatoki mtu hapo. 😂🤣Nyie mnaoanza kiutani utani, ndio mnakimbiaga watoto.
Ingia na full gear. 220 km/h 😅😅
Trust your air bag chief. Lazima utoke salama 😅😅😅220 km/h halafu chuma ikavamie mnazi, hatoki mtu hapo. 😂🤣
Tuanze mdogo mdogo kwanza
Airbag yenyewe haichelewi kukusaliti, kukuvunja mbavu etc.Trust your air bag chief. Lazima utoke salama 😅😅😅
Muda wa kuanza mdogo mdogo umeshapita. Now ni mwendo wa ngiri tu
Hapo unatafuta wanaume wanne tofauti. Kaa chini tena udraft tangazo upya.Vigezo
Awe na 38-45
Dini yoyote
Awe na shughuli nipo serious nimechoka kukaa single aliyeserious aje pm
Mimi
Umri 30
Ninajishughulisha
Nina mtoto
Naishi Dar
Mengine tutaaambizana
Pole nimekuonea huruma , sanaaa usijali nicheki pm niwe rafiki mm ni mdogo kwako,ilà vigezo ninavyo vyote na zaidi, si ndoa bali kuwa mshikajiKwamba bila ndoa unakufa upumui tena mkuu
Kwahiyo soon nakufa
Kuishi Kigoma inataka moyo....sidhani kama atakuwa tayariTunaongea nae maisha popote😂
Kuzaa kwa mpango ndio kukoje? Msaada ndugu.Wewe mgeni hapa jf? Mnapokuwa mnazaa bila mpango alafu mnataka kuolewa? Huyo mtoto atakuwa wa nani? Unataka wa kukusaidia kulea mtoto sio?
OkVigezo
Awe na 38-45
Dini yoyote
Awe na shughuli nipo serious nimechoka kukaa single aliyeserious aje pm
Mimi
Umri 30
Ninajishughulisha
Nina mtoto
Naishi Dar
Mengine tutaaambizana
Hello, kama bado hujapata mimi nipo ila nipo ArushaVigezo
Awe na 38-45
Dini yoyote
Awe na shughuli nipo serious nimechoka kukaa single aliyeserious aje pm
Mimi
Umri 30
Ninajishughulisha
Nina mtoto
Naishi Dar
Mengine tutaaambizana