Natafuta mume, nina miaka 30

Dada nishasema sikuhitaji. Sikutaki. Mbona kama unalazimisha? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama ulitaka kuwa ngamia si ungesema!? Hilo komwe la nini?
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Haya bana umeshinda wewe
Ngoja nkatafute mwenye komwe mwenzangu
 
Shule zote uliosoma nao toka chekechea hadi chuo hujapata? Kanisani unakosali hujapata? Kazini kwako hujapata?
Majirani hujapata? Kwenye ukoo wenu hujapata? Semina nk hujapata

Kijijini hujapata nk

Una tatizo sio bure

Sababu wengi huoa au kuolewa kwenye circles zao
 
Unatafuta mume wakati sasa hivi ndoto za wanaume karibu ya wote ni kununua mdoli wa Elon Musk, nani anataka stress? Mdoli hana maradhi ya maambukizi, haombi hela kila kukicha, si mbea na anapokea dushe bila kupiga mayowe, hanuki makwapa na sehemu za siri, hajichubui, na harogi.
 
Vipi kuhusu uzito mwisho kilo ngapi?
 
Nina sifa zote ila kipengele Cha miaka umeweka mingi sana dah!
 
Tatizo gani sasa wala sina tatizo labda nimepangiw jamii forum ndio nitapata mwenzangu huwezi jua ya Mungu mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…