Natafuta mume, nina miaka 30

Natafuta mume, nina miaka 30

Mwanaume 38+ hana mke jua anachangamoto sana ya kipato na vile vile hakosi mtoto,
Wenye vipato wa umri huo na hana mke ukimpata jua tu ni changamoto!

Kwa ushauri tu hata akitokea mnayelingana umri usijali kipato chake hakikisha tu Anakupenda na yupo tayari kukuoa hata kama anauza genge lake mtayajenga mbele kwa mbele!
 
hilo ni roboti
Ndio lenyewe...Ona hii kwa ukaribu
86B31A2B-D37D-4AE3-8A71-78951831EE73.png
 
😂😂😂😂
Komwe lazima liwepo ndio, la kuwazia kesho hilo.
Kama unanizimia na hilo komwe si useme tuu
Dada nishasema sikuhitaji. Sikutaki. Mbona kama unalazimisha? 😂😂😂😂😂

Kama ulitaka kuwa ngamia si ungesema!? Hilo komwe la nini?
 
Mwanaume 38+ hana mke jua anachangamoto sana ya kipato na vile vile hakosi mtoto,
Wenye vipato wa umri huo na hana mke ukimpata jua tu ni changamoto!

Kwa ushauri tu hata akitokea mnayelingana umri usijali kipato chake hakikisha tu Anakupenda na yupo tayari kukuoa hata kama anauza genge lake mtayajenga mbele kwa mbele!
Hahahhahaha akhsante kwa ushauri kweli kabisa hata ninae ringana anae aje bhan.
 
ENDELEA KUTAFUTA.

KIZURI KINAJIUZA. KIBAYA KINAJITEMBEZA.

Kuna aina FLANI ya wanawake WA HOVYO SANA , umri ukienda wanaanza KUhangaika Kila kona kutafuta wanaume

WEWE NI BIKRA??????....
NINA RAFIKI YANGU ANATAFUTA WIFE MATERIAL.
Ndio ni bikira
 
Back
Top Bottom