dini ya nini dunia ya leo? We una asili ya ubaguzi, kwanini usiwatafute msikitini? Majaliwa muislamu mke wake Mary, hamjifunzi tu kutoka kwa wakubwa?
Mwinyi rais wa zanzibar pia muislam...ila kaoa msabato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dini ya nini dunia ya leo? We una asili ya ubaguzi, kwanini usiwatafute msikitini? Majaliwa muislamu mke wake Mary, hamjifunzi tu kutoka kwa wakubwa?
hilo ni robotiTunasubiri robots wao hata hawazingatii umri, dini, kabila wala elimu
View attachment 2639248
Dada nishasema sikuhitaji. Sikutaki. Mbona kama unalazimisha? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Komwe lazima liwepo ndio, la kuwazia kesho hilo.
Kama unanizimia na hilo komwe si useme tuu
Hahahhahaha akhsante kwa ushauri kweli kabisa hata ninae ringana anae aje bhan.Mwanaume 38+ hana mke jua anachangamoto sana ya kipato na vile vile hakosi mtoto,
Wenye vipato wa umri huo na hana mke ukimpata jua tu ni changamoto!
Kwa ushauri tu hata akitokea mnayelingana umri usijali kipato chake hakikisha tu Anakupenda na yupo tayari kukuoa hata kama anauza genge lake mtayajenga mbele kwa mbele!
aisee kama ndio hivi kweli wanawake wafunge na kusali sanaNdio lenyewe...Ona hii kwa ukaribu
View attachment 2639254
Hahahahha jamani mbona hauko serious kaka unataka kuniua.Ulipata mume dada? Nataka nikupe no ya lile jamaa la CCM lililokamatwa arusha na mke wa ticha
Duh hapana bhanaNikibadili dini, kisha nikuongeze uwe mke wa 3 upo tayari....[emoji848]
Duu jamani!! Unanifaa njoo pmChangamoto hii
Miaka Nina 37 na miezi 11
Dini - Mkiristu
Vipi mrembo sikufai
Hahahahadini ya nini dunia ya leo? We una asili ya ubaguzi, kwanini usiwatafute msikitini? Majaliwa muislamu mke wake Mary, hamjifunzi tu kutoka kwa wakubwa?
Yaani hizi comment naishia kucheka tudini ya nini dunia ya leo? We una asili ya ubaguzi, kwanini usiwatafute msikitini? Majaliwa muislamu mke wake Mary, hamjifunzi tu kutoka kwa wakubwa?
Wala hamja tengwa njooni tuDuh,wakina Paulo tumetegwa,mwanamke hana dini
We una umri gani???Tatizo umri Mwachiluwi
HapanasikubaliNikibadili dini, kisha nikuongeze uwe mke wa 3 upo tayari....[emoji848]
Ndio ni bikiraENDELEA KUTAFUTA.
KIZURI KINAJIUZA. KIBAYA KINAJITEMBEZA.
Kuna aina FLANI ya wanawake WA HOVYO SANA , umri ukienda wanaanza KUhangaika Kila kona kutafuta wanaume
WEWE NI BIKRA??????....
NINA RAFIKI YANGU ANATAFUTA WIFE MATERIAL.
Kuna siku utakuja kuona nimeo mkeo 😂😂Tatizo umri Mwachiluwi
Lakini dini ya haqi umeruhusu mbona...🙄Duh hapana bhana
Je ukiwa wapili utakubali?Hapanasikubali